Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,316
- 33,112
Sisi bado tunagombea Mi Daladala Ubungo Kariakoo
Last edited by a moderator:
Sisi bado tunagombea Mi Daladala Ubungo Kariakoo
you have good idea thank you.Uwezekano wa kuyapata upo, lakini si kwa lelemama hii tunayoenda nayo. Nidhamu yetu katika kazi ni ndogo na hatuna viongozi wenye vision ya kutuongoza kuelekea huko waliko wenzetu. Mzee Kibaki hapo jirani anafanya mambo mazuri kwenye barabara mpaka inatia wivu.Rwanda hawana muda mrefu toka mapigano yao ya 1994 lakini kasi yao ya maendeleo kwa sasa ni kubwa mno. We need to radically do something, otherwise, we will always be lagging behind.
kama wewe unavyowachagua viongozi mafisadi, mimi nimeuliza Swali sasa wewe unanifananisha na viongozi wako,hii nchi hatutaweza kufikia hayo maendeleo ya wenzetu wa ulaya hata baada ya miaka 1000 ijayo hata wewe upate wajukuu hali itakuwa hivyo hivyo kama jana hakuna Maendeleo yoyote yale njaa tupu umeme hakuna maji masafi hakuna.hatutayafikia kwa sababu ya watu wasiojiamini kama wewe, kwa nini useme hatuwezi?
Basi ndizo hizo huku kuna hizo flyovers zinapita hata zaidi 20 kila sehemu zipo huwezi kuzihisabu. Treni bus na (Tram Vay) zipo kila sehemu huko nyumbani bado tunagombea Ma Daladala? Kweli maendeleo yatakuwepo hapo kwetu?Mbona tumekwisha yapata - mabasi yaendayo kasi tayari yapo kuanzia mwenzi wa kumi; ujenzi wa reli Ubungo - Tegeta upo kwenye hatua za mwisho, flyovers tayari nne zimekwisha kamailika - pale Ubungo, Tazara, Morocco na Magomeni mapipa!!!!!!!!!!
Hakuna maendeleo wakati bado kuna wachawi na roho za kichawi, saa ngapi mtawanga na saa ngapi mtafikiria maendeleo?
Sema tu ukweli acha kuzunguka mbuyu. Hakuna maendeleo wakati bado kuna watu wanafikiria wafanye nini ili wapate kupewa "zawadi" za nguo?
FF,
It is unbelivable mpaka leo we work basing on the witch doctors directives. We have taken the guys with no idea of how to run things in the large scale to become our economic, social and political advisors. Wengine mpaka leo hii pamoja na kupewa dhamana kubwa kabisa, wanaendelea kulipia waganga wa klabu zao za soka mpaka leo? Shame on us!
ff unaamini hayo mambo?wewe ni muhanga auhakuna maendeleo wakati bado kuna wachawi na roho za kichawi, saa ngapi mtawanga na saa ngapi mtafikiria maendeleo?
ff unaamini hayo mambo?wewe ni muhanga au
Sisi bado tunagombea Mi Daladala Ubungo Kariakoo
Nna uhakika na wewe ni mmoja wao.