‘Maendeleo hayana chama’.je upinzani unatambua hili?

Kajifunze maana ya mageuzi ni nini,mmejifunza wapi kwamba kujenga ni mageuzi?
Mnataka wapinzani washiriki vipi zaidi?
Wapinzani wanalipa kodi mnazotumia kujenga hivyo vitu,maeneo ya wapinzani ni walipa kodi wakubwa ktk serikali.Au unamaanisha wanakosekana katika kupiga picha wakati mnazindua?
Tangu kuingia kwa awamu ya tano, tumeshuhudia mageuzi makubwa katika sekta ya elimu, afya, maji, miundombinu na viwanda. Maageuzi ya haya ni matokeo ya usimamizi bora rasilimali za nchi unaofanywa na Rais Maguful. Kwa kufanya mageuzi haya, Rais Magufuli anaamini katika maendeleo ya Tanzania kwa watanzania wote na huwa anajaribu kuelezea umuhimu wa watanzania kufanya kazi kwa bidii kwa maendeleo ya nchi bila kujali itikadi za vyama

Ushahidi wa haya ni kauli ya Rais Magufuli ya kuwa ‘maendeleo hayana chama’. Kupitia kauli hii Mhe. Rais anajaribu kutukumbusha umuhimu wa watanzania kushirikiana kuleta maendeleo bila kujali itikadi ya vyama vyao. Licha ya kwamba CCM ndio ndio inaongoza nchi na kuleta sera za maendeleo kwa wananchi na ni CCM hiyohiyo inaamini haiwezi kuleta maendelo pekee yake bila ushirikishwaji wa vyama vya upinzani na watanzania kwa ujumla. Je, upinzani unashiriki ipasavyo kuleta maendeleo?

Katika shughuli za kimaendeleo wapinzani wanagoma kushiriki kwa sababu za kisiasa na kushindwa kukubaliana na kauli ya rais kwamba maendeleo hayana chama. Ushiriki wa upinzani ktika shughuli za maendeleo ni muhimu kwa nchi. Je, upinzani unafahamu kutoshiriki shughuli za kimaendeleo kwa sababu za kisiasa kunafanya waamini maendeleo ni ya CCM tu?

Maendeleo hayana chama inamaanisha kuwa miradi ya serikali inapowekwa mahali ni wananchi wote watafaidika nayo na si wanaCCM ama wapinzani pekee, kila mtu atatumia kadiri ya mahitaji na uwezo wake.

Serikali ya CCM inajizitatiti kupeleka maendeleo yatakayotumiwa na kila mtanzania na si wanachama wa chama Fulani cha siasa.

Wapinzani wamekuwa na ufinyu wa fikra kwamba serikali ya CCM inapendelea baadhi ya sehemu, sehemu zingine haipeleki kwa sababu za kisiasa. Huu sio ukweli, serikali inapeleka maendeleo sehemu kwenye fursa za kiuwekezaji ili kukuza uwekezaji hasa wa viwanda ili kuendana na sera ya Tanzania ya viwanda.

Karlo Mwilapwa
 
Utatambuaje iwapo maendeleo yanapelekwa kwenye majimbo ya ccm?
 
Namshukuru Mungu tumepata rais kama Magufuli, yaani nawaza kama tungekuwa na rais chizi kama Zitto, mwehu kama Lissu, asiyejitambua kama Membe sijuwi hii nchi ingekuwaje kwa sasa.
Tusingesikia majina kama watu wasiojulikana, tusingesikia watu wanapotea kama kina azory, saanane na yule mwenyekiti wa kule kigoma, tusingesikia kuwa mbunge anashambuliwa wa risasi kwenye nyumba za viongozi zeye ulinzi wa askari na caera za cctv lakini mpaka leo hakuna aliyehojiwa hata mmoja si askari waliokuwapo eneo la ulinzi wala walioondoa cctv kamera sana sana tunasikia wanamsubir dereva wa mbunge, tusingesikia kauli kama "waambie wenzako wenye kiherehere wataishia gerezani, ningewanza kuwapiga shangazi zako, serikali haina shamba, serikali hajialeta tetemeko, tetemekeni mjenge NK", tusingesikia kuwa wastaafu wanadhulumiwa mafao yao kwa kisingizio cha kuwatunzia ili wasichezee.
 
Sasa hao vichaa niliowataja ndiyo kiboko zaidi, usikute hata wewe ungepotea kama tungekuwa chini ya tawala zao na tusingekujuwa hapa JF. Usiombee balaa kijana, shukuru ulichonacho sasa kwani hata yesu alikataliwa na watu wake. Si unakumbuka vichaa Lissu na Zito walivyofanya dua na makafara ili tupate rais dikteta na si rudio la JK kama Membe, umeshau haya? Mungu kawasikia kawapa Magufuli ili atukomboe, vichaa wamejisahau wanaanza kujipiga vidole hadharani na kujinusa wenyewe juku wakitapika. Never deal na vichaa maishani, they will mislead you, mwanagalie zuzu Zitto asivyotulia, mara leo hili kesho lile...anajielewa yeye mwenyewe tu.
 
Huyu shetani anayetutawala sasa hana lolote zaidi ya chuki na kuendesha nchi kama anaendesha familia yake

Shukuru umempata Magufuli rais shupavu hapa Afrika.....hawa wapuuzi wenzako walifanya dua na kafara ili tupate rais dikteta maana JK alikuwa dhaifu kwao. Wakafanya chini juu kumleta Lowassa aje kuinyoosha hii nchi, Mungu akakataa akamleta mtu wa uhakika in Magufuli na anainyoosha hii nchi ipasavyo mpaka dunia nzima inamtambua na kumwagia sifa lukuki.....eti wapuuzi wale wale sasa wanalalamika tena. Kajivutie bangi yako tu ukalale kijana.
 
1544486729504.png

1544486759178.png
1544486814696.png
 
Wapinzani (wanasiasa wa upinzani) nchini Tz, ambao mimi napendelea kuwaita wanasiasa uchwara, kiukweli hawajitambui. Hawana cha kupongeza au kusifia katika serikali iliyoko madarakani, wao ni kupinga tu, tena bila hoja zenye mashiko. Wamejitoa ufahamu kabisa na kusahau kuwa siasa za vyama vingi ni siasa za kupongezana na kukosoana, na kamwe si kupingana hasa linapokuja suala la maendeleo ya jamii ua linalogusa maslahi ya umma.

Nchi ya Tanzania haiboreshi demokrasia, sababu kubwa ni kuwa na vyama vya upinzani dhaifu, zenye viongozi na wanachama maskini wa fikra. Kamwe siasa ya kupinga haijengi demokrasia au kurekebisha mapungufu ya kijamii na kisiasa na hata kiuchumi katika taifa. Siasa ya kupinga inabomoa na kuharibu taswira ya sera bora (kama inakuwepo) inayoweza kujenga nchi. Siasa ya kupinga ni tofauti sana na siasa ya kukosoa. Mbali na kupongeza, sera mbovu au mwenendo mbovu katika taifa yafaa ukabiliwe kwa ukosoaji, tena ukosoaji wenye kutoa mbinu mbadala ili kujenga mantiki na kuleta maafikiano kama si mabadiliko.

Siku zote siasa ya kukosoa hujenga chuki, badala ya umoja, hujenga uoga badala ya mshikamano na huharibu kabisa imani ya wakereketwa wa siasa hizo dhidi ya serikali yao. tena madhara haya hutokea pasipo kujali serikali inafanya vyema au la. Kwa maneno mengine, siasa za baadhi ya vyama vya upinzani Tanzania ni siasa haribifu na chochezi, si siasa endelevu.
Sasa bunduki za nini?
 
Ndugu yangu pole sana. Unajua msingi wa maamuzi ya pamoja katika jamii yeyote unaanzia wapi na una miiko ipi? Kwa nchi zetu hizi zinazoendeshwa kwa taratibu za bunge, utawala na mahakama, je, maamuzi ya pamoja wawe wapi? Kwa mtazamo wako unaona ni sawa serikali kushirikisha upinzani katika kufanya maamuzi, na mahakama kuzingatia maoni ya umma katika kutoa maamuzi yake?
Tafakari.
Bunge hili linalo lalamika kufichwa kwa baadhi ya vifungu vya miswada!, Rejea sheria mpya ya mifuko ya hifadhi za jamii.
 
Shukuru umempata Magufuli rais shupavu hapa Afrika.....hawa wapuuzi wenzako walifanya dua na kafara ili tupate rais dikteta maana JK alikuwa dhaifu kwao. Wakafanya chini juu kumleta Lowassa aje kuinyoosha hii nchi, Mungu akakataa akamleta mtu wa uhakika in Magufuli na anainyoosha hii nchi ipasavyo mpaka dunia nzima inamtambua na kumwagia sifa lukuki.....eti wapuuzi wale wale sasa wanalalamika tena. Kajivutie bangi yako tu ukalale kijana.
Dunia ipi inamwagia sifa?Ndio yaleyale ya TBC kumwaga sifa za uongo mpaka wafanyakazi wakapigwa chini kwa muda,eti "trump amsifia JPM"!
Awamu hii hii ambayo juhudi kubwa ni kuvunja mahusiano ya kimataifa!!!
 
Kwani wewe unaishi duniani gani kijana, unataka kutuambia kuwa hauoni au kusikia taarifa ya habari za maduani?
 
Ndiyo kama ile ya TBC niliyosikia ya kuwa Trump ampongeza JPM,kumbe ni uongo!
Hebu weka hapa link ya mataifa wakimsifia JPM!
 
Tangu kuingia kwa awamu ya tano, tumeshuhudia mageuzi makubwa katika sekta ya elimu, afya, maji, miundombinu na viwanda. Maageuzi ya haya ni matokeo ya usimamizi bora rasilimali za nchi unaofanywa na Rais Maguful. Kwa kufanya mageuzi haya, Rais Magufuli anaamini katika maendeleo ya Tanzania kwa watanzania wote na huwa anajaribu kuelezea umuhimu wa watanzania kufanya kazi kwa bidii kwa maendeleo ya nchi bila kujali itikadi za vyama

Ushahidi wa haya ni kauli ya Rais Magufuli ya kuwa ‘maendeleo hayana chama’. Kupitia kauli hii Mhe. Rais anajaribu kutukumbusha umuhimu wa watanzania kushirikiana kuleta maendeleo bila kujali itikadi ya vyama vyao. Licha ya kwamba CCM ndio ndio inaongoza nchi na kuleta sera za maendeleo kwa wananchi na ni CCM hiyohiyo inaamini haiwezi kuleta maendelo pekee yake bila ushirikishwaji wa vyama vya upinzani na watanzania kwa ujumla. Je, upinzani unashiriki ipasavyo kuleta maendeleo?

Katika shughuli za kimaendeleo wapinzani wanagoma kushiriki kwa sababu za kisiasa na kushindwa kukubaliana na kauli ya rais kwamba maendeleo hayana chama. Ushiriki wa upinzani ktika shughuli za maendeleo ni muhimu kwa nchi. Je, upinzani unafahamu kutoshiriki shughuli za kimaendeleo kwa sababu za kisiasa kunafanya waamini maendeleo ni ya CCM tu?

Maendeleo hayana chama inamaanisha kuwa miradi ya serikali inapowekwa mahali ni wananchi wote watafaidika nayo na si wanaCCM ama wapinzani pekee, kila mtu atatumia kadiri ya mahitaji na uwezo wake.

Serikali ya CCM inajizitatiti kupeleka maendeleo yatakayotumiwa na kila mtanzania na si wanachama wa chama Fulani cha siasa.

Wapinzani wamekuwa na ufinyu wa fikra kwamba serikali ya CCM inapendelea baadhi ya sehemu, sehemu zingine haipeleki kwa sababu za kisiasa. Huu sio ukweli, serikali inapeleka maendeleo sehemu kwenye fursa za kiuwekezaji ili kukuza uwekezaji hasa wa viwanda ili kuendana na sera ya Tanzania ya viwanda.

Karlo Mwilapwa
Hebu toa maana ya maendeleo hayana chama ili twende pamoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom