Upinzani wa Tanzania ni kundi la wahuni tu kwa kweli
Hawana focus walahi
Hizi ndio vitu vyenye unapenda roho inasuuzika ukiona comments za machizi wa mirembe haoHahahaha
Haki ya Mola wangu uwiii
Mbona mnahaha 24/7 kununua wapinzani wasio na focus?Upinzani wa Tanzania ni kundi la wahuni tu kwa kweli
Hawana focus walahi
Wapinzani (wanasiasa wa upinzani) nchini Tz, ambao mimi napendelea kuwaita wanasiasa uchwara, kiukweli hawajitambui. Hawana cha kupongeza au kusifia katika serikali iliyoko madarakani, wao ni kupinga tu, tena bila hoja zenye mashiko. Wamejitoa ufahamu kabisa na kusahau kuwa siasa za vyama vingi ni siasa za kupongezana na kukosoana, na kamwe si kupingana hasa linapokuja suala la maendeleo ya jamii ua linalogusa maslahi ya umma.
Nchi ya Tanzania haiboreshi demokrasia, sababu kubwa ni kuwa na vyama vya upinzani dhaifu, zenye viongozi na wanachama maskini wa fikra. Kamwe siasa ya kupinga haijengi demokrasia au kurekebisha mapungufu ya kijamii na kisiasa na hata kiuchumi katika taifa. Siasa ya kupinga inabomoa na kuharibu taswira ya sera bora (kama inakuwepo) inayoweza kujenga nchi. Siasa ya kupinga ni tofauti sana na siasa ya kukosoa. Mbali na kupongeza, sera mbovu au mwenendo mbovu katika taifa yafaa ukabiliwe kwa ukosoaji, tena ukosoaji wenye kutoa mbinu mbadala ili kujenga mantiki na kuleta maafikiano kama si mabadiliko.
Siku zote siasa ya kukosoa hujenga chuki, badala ya umoja, hujenga uoga badala ya mshikamano na huharibu kabisa imani ya wakereketwa wa siasa hizo dhidi ya serikali yao. tena madhara haya hutokea pasipo kujali serikali inafanya vyema au la. Kwa maneno mengine, siasa za baadhi ya vyama vya upinzani Tanzania ni siasa haribifu na chochezi, si siasa endelevu.
Ni kweli umeruka chizi, ukaruka mwehu, ukamruka asiyejitambua kisha ukapata "Kichaa" hongera.Namshukuru Mungu tumepata rais kama Magufuli, yaani nawaza kama tungekuwa na rais chizi kama Zitto, mwehu kama Lissu, asiyejitambua kama Membe sijuwi hii nchi ingekuwaje kwa sasa.
Unajivunjia heshima, tumesa mambo ya political tolerance, haya application yake ni wapi?Wapinzani (wanasiasa wa upinzani) nchini Tz, ambao mimi napendelea kuwaita wanasiasa uchwara, kiukweli hawajitambui. Hawana cha kupongeza au kusifia katika serikali iliyoko madarakani, wao ni kupinga tu, tena bila hoja zenye mashiko. Wamejitoa ufahamu kabisa na kusahau kuwa siasa za vyama vingi ni siasa za kupongezana na kukosoana, na kamwe si kupingana hasa linapokuja suala la maendeleo ya jamii ua linalogusa maslahi ya umma.
Nchi ya Tanzania haiboreshi demokrasia, sababu kubwa ni kuwa na vyama vya upinzani dhaifu, zenye viongozi na wanachama maskini wa fikra. Kamwe siasa ya kupinga haijengi demokrasia au kurekebisha mapungufu ya kijamii na kisiasa na hata kiuchumi katika taifa. Siasa ya kupinga inabomoa na kuharibu taswira ya sera bora (kama inakuwepo) inayoweza kujenga nchi. Siasa ya kupinga ni tofauti sana na siasa ya kukosoa. Mbali na kupongeza, sera mbovu au mwenendo mbovu katika taifa yafaa ukabiliwe kwa ukosoaji, tena ukosoaji wenye kutoa mbinu mbadala ili kujenga mantiki na kuleta maafikiano kama si mabadiliko.
Siku zote siasa ya kukosoa hujenga chuki, badala ya umoja, hujenga uoga badala ya mshikamano na huharibu kabisa imani ya wakereketwa wa siasa hizo dhidi ya serikali yao. tena madhara haya hutokea pasipo kujali serikali inafanya vyema au la. Kwa maneno mengine, siasa za baadhi ya vyama vya upinzani Tanzania ni siasa haribifu na chochezi, si siasa endelevu.
Ndugu yangu pole sana. Unajua msingi wa maamuzi ya pamoja katika jamii yeyote unaanzia wapi na una miiko ipi? Kwa nchi zetu hizi zinazoendeshwa kwa taratibu za bunge, utawala na mahakama, je, maamuzi ya pamoja wawe wapi? Kwa mtazamo wako unaona ni sawa serikali kushirikisha upinzani katika kufanya maamuzi, na mahakama kuzingatia maoni ya umma katika kutoa maamuzi yake?Unajivunjia heshima, tumesa mambo ya political tolerance, haya application yake ni wapi?
Tunajua kila kazi afanyao mtu ni kama kioo hivyo kila mtu hujitazama au hutazama kwenye hiyo kazi sasa asipoona taswira nzuri lazima aseme.
Unaweza kuvaa vizuri ukizani umependeza ila kila msanifu wa mavazi atakwambia lake sasa chagua moja ama kwaleta pamoja wasanifu wa mitindo ili wakusahihishe pamoja au kubaki na upendalo wewe huku wasanifu wakiponda mtindo wako?
Sisi kama Nchi tunapenda mambo yanayotufurahisha wote siyo mtu mmoja ndo awe na dila ya Watu takriban 55m, kuwepo na maamuzi ya pamoja.
Hata kwenye familia ukifanya mambo peke yako bila kishirikisha, iksubiri watu kuunga mkono wakati wa matumizi, unaweza pata tabu.
Hata mtoto akipigwa fimbo alafu akanunililiwa zawadi, uzuri wa zawadi unapotea zaidi itabaki lawama tuuu.
Eti hii ndo maana yakekwani hii kauli ya MAENDELEO HAYANA CHAMA huwa inamaanisha nn hasa? maana kwa jinsi inavyosisitizwa kila siku huenda ina maana tofauti na wengi tunavyoielewa
Sasa mtu anasema maendeleo hayana chama. Huku akijitahidi kudhoofisha vyama vingine ?! Mnatetea nini , mbona hamueleweki ?!Wapinzani (wanasiasa wa upinzani) nchini Tz, ambao mimi napendelea kuwaita wanasiasa uchwara, kiukweli hawajitambui. Hawana cha kupongeza au kusifia katika serikali iliyoko madarakani, wao ni kupinga tu, tena bila hoja zenye mashiko. Wamejitoa ufahamu kabisa na kusahau kuwa siasa za vyama vingi ni siasa za kupongezana na kukosoana, na kamwe si kupingana hasa linapokuja suala la maendeleo ya jamii ua linalogusa maslahi ya umma.
Nchi ya Tanzania haiboreshi demokrasia, sababu kubwa ni kuwa na vyama vya upinzani dhaifu, zenye viongozi na wanachama maskini wa fikra. Kamwe siasa ya kupinga haijengi demokrasia au kurekebisha mapungufu ya kijamii na kisiasa na hata kiuchumi katika taifa. Siasa ya kupinga inabomoa na kuharibu taswira ya sera bora (kama inakuwepo) inayoweza kujenga nchi. Siasa ya kupinga ni tofauti sana na siasa ya kukosoa. Mbali na kupongeza, sera mbovu au mwenendo mbovu katika taifa yafaa ukabiliwe kwa ukosoaji, tena ukosoaji wenye kutoa mbinu mbadala ili kujenga mantiki na kuleta maafikiano kama si mabadiliko.
Siku zote siasa ya kukosoa hujenga chuki, badala ya umoja, hujenga uoga badala ya mshikamano na huharibu kabisa imani ya wakereketwa wa siasa hizo dhidi ya serikali yao. tena madhara haya hutokea pasipo kujali serikali inafanya vyema au la. Kwa maneno mengine, siasa za baadhi ya vyama vya upinzani Tanzania ni siasa haribifu na chochezi, si siasa endelevu.
Kauli hii inaeleweka vizuri tu. Maendeleo ni kwa wananchi wote. Kila hatua ya maendeleo ni manufaa kwa umma. Cha ajabu kuna wachache wanaobeza maendeleo yanayoonekana dhahiri, na wanapotosha umma juu ya mipango ya kimaendeleo ya serikali.Sasa mtu anasema maendeleo hayana chama. Huku akijitahidi kudhoofisha vyama vingine ?! Mnatetea nini , mbona hamueleweki ?!
Ahsante, naamini maamuzi ya pamoja huweza anzia bungeni: ambako siyo tu wapo wabunge wa upinzani bali ni pamoja na wa chama tawala.Ndugu yangu pole sana. Unajua msingi wa maamuzi ya pamoja katika jamii yeyote unaanzia wapi na una miiko ipi? Kwa nchi zetu hizi zinazoendeshwa kwa taratibu za bunge, utawala na mahakama, je, maamuzi ya pamoja wawe wapi? Kwa mtazamo wako unaona ni sawa serikali kushirikisha upinzani katika kufanya maamuzi, na mahakama kuzingatia maoni ya umma katika kutoa maamuzi yake?
Tafakari.
Ka ghetto au familia isiyo na maadiliHuyu shetani anayetutawala sasa hana lolote zaidi ya chuki na kuendesha nchi kama anaendesha familia yake
Wale ni wachumi na wanadiplomasia ingekuwa mbali sanaNamshukuru Mungu tumepata rais kama Magufuli, yaani nawaza kama tungekuwa na rais chizi kama Zitto, mwehu kama Lissu, asiyejitambua kama Membe sijuwi hii nchi ingekuwaje kwa sasa.
Hahahahaaaaaaa,kama chuki yangu dhidi yake ingekuwa inapimika katika viwango vya kimbunga,basi yangu itakuwa katrina!Amini usiamini.... Raisi Magufuli unampenda kiuhalisia, haya unayoyaandika hapa ni mihemko ya kisiasa tu. si kosa lako
Hahaahahaaaaaaa,analaana Jiwe ndio maana kila kukicha anaomba kuombewa lakini sala zinagonga mwamba!Wewe unalaana kuu na huwezi fika popote maishani, umejivuruga mwenyewe walahi
Kweli, wa hovyo kama weweMleta hoja kaja na hoja yake, ijibu kwa hoja sio kwa kejeli. Tanzania ina watu wa hovyo kabisa