‘Maendeleo hayana chama’.je upinzani unatambua hili?

B

Brain-app

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Messages
362
Likes
263
Points
80
B

Brain-app

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2018
362 263 80
Kajifunze maana ya mageuzi ni nini,mmejifunza wapi kwamba kujenga ni mageuzi?
Mnataka wapinzani washiriki vipi zaidi?
Wapinzani wanalipa kodi mnazotumia kujenga hivyo vitu,maeneo ya wapinzani ni walipa kodi wakubwa ktk serikali.Au unamaanisha wanakosekana katika kupiga picha wakati mnazindua?
Tangu kuingia kwa awamu ya tano, tumeshuhudia mageuzi makubwa katika sekta ya elimu, afya, maji, miundombinu na viwanda. Maageuzi ya haya ni matokeo ya usimamizi bora rasilimali za nchi unaofanywa na Rais Maguful. Kwa kufanya mageuzi haya, Rais Magufuli anaamini katika maendeleo ya Tanzania kwa watanzania wote na huwa anajaribu kuelezea umuhimu wa watanzania kufanya kazi kwa bidii kwa maendeleo ya nchi bila kujali itikadi za vyama

Ushahidi wa haya ni kauli ya Rais Magufuli ya kuwa ‘maendeleo hayana chama’. Kupitia kauli hii Mhe. Rais anajaribu kutukumbusha umuhimu wa watanzania kushirikiana kuleta maendeleo bila kujali itikadi ya vyama vyao. Licha ya kwamba CCM ndio ndio inaongoza nchi na kuleta sera za maendeleo kwa wananchi na ni CCM hiyohiyo inaamini haiwezi kuleta maendelo pekee yake bila ushirikishwaji wa vyama vya upinzani na watanzania kwa ujumla. Je, upinzani unashiriki ipasavyo kuleta maendeleo?

Katika shughuli za kimaendeleo wapinzani wanagoma kushiriki kwa sababu za kisiasa na kushindwa kukubaliana na kauli ya rais kwamba maendeleo hayana chama. Ushiriki wa upinzani ktika shughuli za maendeleo ni muhimu kwa nchi. Je, upinzani unafahamu kutoshiriki shughuli za kimaendeleo kwa sababu za kisiasa kunafanya waamini maendeleo ni ya CCM tu?

Maendeleo hayana chama inamaanisha kuwa miradi ya serikali inapowekwa mahali ni wananchi wote watafaidika nayo na si wanaCCM ama wapinzani pekee, kila mtu atatumia kadiri ya mahitaji na uwezo wake.

Serikali ya CCM inajizitatiti kupeleka maendeleo yatakayotumiwa na kila mtanzania na si wanachama wa chama Fulani cha siasa.

Wapinzani wamekuwa na ufinyu wa fikra kwamba serikali ya CCM inapendelea baadhi ya sehemu, sehemu zingine haipeleki kwa sababu za kisiasa. Huu sio ukweli, serikali inapeleka maendeleo sehemu kwenye fursa za kiuwekezaji ili kukuza uwekezaji hasa wa viwanda ili kuendana na sera ya Tanzania ya viwanda.

Karlo Mwilapwa
 
M

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
557
Likes
461
Points
80
M

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
557 461 80

Utatambuaje iwapo maendeleo yanapelekwa kwenye majimbo ya ccm?
 
M

mashakani

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2018
Messages
351
Likes
422
Points
80
M

mashakani

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2018
351 422 80
Namshukuru Mungu tumepata rais kama Magufuli, yaani nawaza kama tungekuwa na rais chizi kama Zitto, mwehu kama Lissu, asiyejitambua kama Membe sijuwi hii nchi ingekuwaje kwa sasa.
Tusingesikia majina kama watu wasiojulikana, tusingesikia watu wanapotea kama kina azory, saanane na yule mwenyekiti wa kule kigoma, tusingesikia kuwa mbunge anashambuliwa wa risasi kwenye nyumba za viongozi zeye ulinzi wa askari na caera za cctv lakini mpaka leo hakuna aliyehojiwa hata mmoja si askari waliokuwapo eneo la ulinzi wala walioondoa cctv kamera sana sana tunasikia wanamsubir dereva wa mbunge, tusingesikia kauli kama "waambie wenzako wenye kiherehere wataishia gerezani, ningewanza kuwapiga shangazi zako, serikali haina shamba, serikali hajialeta tetemeko, tetemekeni mjenge NK", tusingesikia kuwa wastaafu wanadhulumiwa mafao yao kwa kisingizio cha kuwatunzia ili wasichezee.
 
Forum statistics

Threads 1,235,322
Members 474,524
Posts 29,218,434