‘Maendeleo hayana chama’.je upinzani unatambua hili?

basheer

basheer

Member
Joined
Apr 25, 2010
Messages
74
Likes
19
Points
15
basheer

basheer

Member
Joined Apr 25, 2010
74 19 15
Ifikie wakati watu watofautishe kati ya kupinga na kukosoa ni vitu viwili tofauti. Sijawahi kuona kiongozi wa upinzani Tanzania kuanzia mbunge au diwani aliewaambia wananchi wake wapinge kufanyika miradi ya maendeleo katika maeneo yao. Mfano tumesikia wakilalamika kuhusu uwanja wa chato ujenzi wake wanakosoa njia iliyotumika mpaka kujenga haikufuata taratibu na sheria. Kwa tafsiri ya haraka ni kwamba wamekosoa ila hawajapinga. Ifikie wakati tutofautishe kati ya kupinga na kukosoa. Swali kwa wana CCM je hakuna jema lolote kutoka kwa wapinzani nchi hii? Mbona nyie kazi yenu kuwaona maadui tu
Wapinzani (wanasiasa wa upinzani) nchini Tz, ambao mimi napendelea kuwaita wanasiasa uchwara, kiukweli hawajitambui. Hawana cha kupongeza au kusifia katika serikali iliyoko madarakani, wao ni kupinga tu, tena bila hoja zenye mashiko. Wamejitoa ufahamu kabisa na kusahau kuwa siasa za vyama vingi ni siasa za kupongezana na kukosoana, na kamwe si kupingana hasa linapokuja suala la maendeleo ya jamii ua linalogusa maslahi ya umma.

Nchi ya Tanzania haiboreshi demokrasia, sababu kubwa ni kuwa na vyama vya upinzani dhaifu, zenye viongozi na wanachama maskini wa fikra. Kamwe siasa ya kupinga haijengi demokrasia au kurekebisha mapungufu ya kijamii na kisiasa na hata kiuchumi katika taifa. Siasa ya kupinga inabomoa na kuharibu taswira ya sera bora (kama inakuwepo) inayoweza kujenga nchi. Siasa ya kupinga ni tofauti sana na siasa ya kukosoa. Mbali na kupongeza, sera mbovu au mwenendo mbovu katika taifa yafaa ukabiliwe kwa ukosoaji, tena ukosoaji wenye kutoa mbinu mbadala ili kujenga mantiki na kuleta maafikiano kama si mabadiliko.

Siku zote siasa ya kukosoa hujenga chuki, badala ya umoja, hujenga uoga badala ya mshikamano na huharibu kabisa imani ya wakereketwa wa siasa hizo dhidi ya serikali yao. tena madhara haya hutokea pasipo kujali serikali inafanya vyema au la. Kwa maneno mengine, siasa za baadhi ya vyama vya upinzani Tanzania ni siasa haribifu na chochezi, si siasa endelevu.
 
Bila bila

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
5,595
Likes
7,903
Points
280
Age
40
Bila bila

Bila bila

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
5,595 7,903 280
Namshukuru Mungu tumepata rais kama Magufuli, yaani nawaza kama tungekuwa na rais chizi kama Zitto, mwehu kama Lissu, asiyejitambua kama Membe sijuwi hii nchi ingekuwaje kwa sasa.
Ni kweli umeruka chizi, ukaruka mwehu, ukamruka asiyejitambua kisha ukapata "Kichaa" hongera.
 
Estone

Estone

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Messages
202
Likes
106
Points
60
Age
54
Estone

Estone

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2012
202 106 60
Wapinzani (wanasiasa wa upinzani) nchini Tz, ambao mimi napendelea kuwaita wanasiasa uchwara, kiukweli hawajitambui. Hawana cha kupongeza au kusifia katika serikali iliyoko madarakani, wao ni kupinga tu, tena bila hoja zenye mashiko. Wamejitoa ufahamu kabisa na kusahau kuwa siasa za vyama vingi ni siasa za kupongezana na kukosoana, na kamwe si kupingana hasa linapokuja suala la maendeleo ya jamii ua linalogusa maslahi ya umma.

Nchi ya Tanzania haiboreshi demokrasia, sababu kubwa ni kuwa na vyama vya upinzani dhaifu, zenye viongozi na wanachama maskini wa fikra. Kamwe siasa ya kupinga haijengi demokrasia au kurekebisha mapungufu ya kijamii na kisiasa na hata kiuchumi katika taifa. Siasa ya kupinga inabomoa na kuharibu taswira ya sera bora (kama inakuwepo) inayoweza kujenga nchi. Siasa ya kupinga ni tofauti sana na siasa ya kukosoa. Mbali na kupongeza, sera mbovu au mwenendo mbovu katika taifa yafaa ukabiliwe kwa ukosoaji, tena ukosoaji wenye kutoa mbinu mbadala ili kujenga mantiki na kuleta maafikiano kama si mabadiliko.

Siku zote siasa ya kukosoa hujenga chuki, badala ya umoja, hujenga uoga badala ya mshikamano na huharibu kabisa imani ya wakereketwa wa siasa hizo dhidi ya serikali yao. tena madhara haya hutokea pasipo kujali serikali inafanya vyema au la. Kwa maneno mengine, siasa za baadhi ya vyama vya upinzani Tanzania ni siasa haribifu na chochezi, si siasa endelevu.
Unajivunjia heshima, tumesa mambo ya political tolerance, haya application yake ni wapi?
Tunajua kila kazi afanyao mtu ni kama kioo hivyo kila mtu hujitazama au hutazama kwenye hiyo kazi sasa asipoona taswira nzuri lazima aseme.
Unaweza kuvaa vizuri ukizani umependeza ila kila msanifu wa mavazi atakwambia lake sasa chagua moja ama kwaleta pamoja wasanifu wa mitindo ili wakusahihishe pamoja au kubaki na upendalo wewe huku wasanifu wakiponda mtindo wako?

Sisi kama Nchi tunapenda mambo yanayotufurahisha wote siyo mtu mmoja ndo awe na dila ya Watu takriban 55m, kuwepo na maamuzi ya pamoja.
Hata kwenye familia ukifanya mambo peke yako bila kishirikisha, iksubiri watu kuunga mkono wakati wa matumizi, unaweza pata tabu.
Hata mtoto akipigwa fimbo alafu akanunililiwa zawadi, uzuri wa zawadi unapotea zaidi itabaki lawama tuuu.
 
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Messages
7,066
Likes
7,357
Points
280
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2013
7,066 7,357 280

Ndugu yangu pole sana. Unajua msingi wa maamuzi ya pamoja katika jamii yeyote unaanzia wapi na una miiko ipi? Kwa nchi zetu hizi zinazoendeshwa kwa taratibu za bunge, utawala na mahakama, je, maamuzi ya pamoja wawe wapi? Kwa mtazamo wako unaona ni sawa serikali kushirikisha upinzani katika kufanya maamuzi, na mahakama kuzingatia maoni ya umma katika kutoa maamuzi yake?
Tafakari.
 
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
8,976
Likes
10,347
Points
280
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
8,976 10,347 280
Wapinzani (wanasiasa wa upinzani) nchini Tz, ambao mimi napendelea kuwaita wanasiasa uchwara, kiukweli hawajitambui. Hawana cha kupongeza au kusifia katika serikali iliyoko madarakani, wao ni kupinga tu, tena bila hoja zenye mashiko. Wamejitoa ufahamu kabisa na kusahau kuwa siasa za vyama vingi ni siasa za kupongezana na kukosoana, na kamwe si kupingana hasa linapokuja suala la maendeleo ya jamii ua linalogusa maslahi ya umma.

Nchi ya Tanzania haiboreshi demokrasia, sababu kubwa ni kuwa na vyama vya upinzani dhaifu, zenye viongozi na wanachama maskini wa fikra. Kamwe siasa ya kupinga haijengi demokrasia au kurekebisha mapungufu ya kijamii na kisiasa na hata kiuchumi katika taifa. Siasa ya kupinga inabomoa na kuharibu taswira ya sera bora (kama inakuwepo) inayoweza kujenga nchi. Siasa ya kupinga ni tofauti sana na siasa ya kukosoa. Mbali na kupongeza, sera mbovu au mwenendo mbovu katika taifa yafaa ukabiliwe kwa ukosoaji, tena ukosoaji wenye kutoa mbinu mbadala ili kujenga mantiki na kuleta maafikiano kama si mabadiliko.

Siku zote siasa ya kukosoa hujenga chuki, badala ya umoja, hujenga uoga badala ya mshikamano na huharibu kabisa imani ya wakereketwa wa siasa hizo dhidi ya serikali yao. tena madhara haya hutokea pasipo kujali serikali inafanya vyema au la. Kwa maneno mengine, siasa za baadhi ya vyama vya upinzani Tanzania ni siasa haribifu na chochezi, si siasa endelevu.
Sasa mtu anasema maendeleo hayana chama. Huku akijitahidi kudhoofisha vyama vingine ?! Mnatetea nini , mbona hamueleweki ?!
 
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Messages
7,066
Likes
7,357
Points
280
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2013
7,066 7,357 280
Sasa mtu anasema maendeleo hayana chama. Huku akijitahidi kudhoofisha vyama vingine ?! Mnatetea nini , mbona hamueleweki ?!
Kauli hii inaeleweka vizuri tu. Maendeleo ni kwa wananchi wote. Kila hatua ya maendeleo ni manufaa kwa umma. Cha ajabu kuna wachache wanaobeza maendeleo yanayoonekana dhahiri, na wanapotosha umma juu ya mipango ya kimaendeleo ya serikali.
 
Estone

Estone

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Messages
202
Likes
106
Points
60
Age
54
Estone

Estone

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2012
202 106 60
Ndugu yangu pole sana. Unajua msingi wa maamuzi ya pamoja katika jamii yeyote unaanzia wapi na una miiko ipi? Kwa nchi zetu hizi zinazoendeshwa kwa taratibu za bunge, utawala na mahakama, je, maamuzi ya pamoja wawe wapi? Kwa mtazamo wako unaona ni sawa serikali kushirikisha upinzani katika kufanya maamuzi, na mahakama kuzingatia maoni ya umma katika kutoa maamuzi yake?
Tafakari.
Ahsante, naamini maamuzi ya pamoja huweza anzia bungeni: ambako siyo tu wapo wabunge wa upinzani bali ni pamoja na wa chama tawala.
Aidha Mengine huweza anzia kwenye executive; nikimaanisha kukusanya maoni ya raia kabla ya kuamua kufanya miradi? Mifano michache inayo weza fanya mapingano ndani ya nyumba hii ni: mafao,makato ya HESLB,..... nataja hii tu mingine wataleta wengine.

Yapo mengi ambayo hufanya afya ya nchi kudhoofu je ni kwa sababu ya upinzani tuu? Je upinzani waharibu soko la mazao? Je upinzani hufanya Pspf na LAPf kuhemea? Je ni upinzani inaofanya maisha ya wafanya biashara kudorora?

Inawezekana kwa sababu ya upinzani tulileta sera mbaya ili kuwakomoa, ila siasa za kukomoana husababisha kususiana baadaya huzaa kutopongezana!
 
T

Timiza

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2017
Messages
1,696
Likes
1,261
Points
280
T

Timiza

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2017
1,696 1,261 280
Namshukuru Mungu tumepata rais kama Magufuli, yaani nawaza kama tungekuwa na rais chizi kama Zitto, mwehu kama Lissu, asiyejitambua kama Membe sijuwi hii nchi ingekuwaje kwa sasa.
Wale ni wachumi na wanadiplomasia ingekuwa mbali sana
 
T

Tigershark

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2018
Messages
1,683
Likes
2,876
Points
280
T

Tigershark

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2018
1,683 2,876 280
Amini usiamini.... Raisi Magufuli unampenda kiuhalisia, haya unayoyaandika hapa ni mihemko ya kisiasa tu. si kosa lako
Hahahahaaaaaaa,kama chuki yangu dhidi yake ingekuwa inapimika katika viwango vya kimbunga,basi yangu itakuwa katrina!
 
Forum statistics

Threads 1,235,340
Members 474,524
Posts 29,218,886