Maendeleo hayana Chama, hii hapa ni shule ya msingi Mwanavala iliyoko Mbarali

Ndugu yangu mimi nilitaka kufahamu tu hivi vyama vya upinzani haviwezi kujitolea kwa kujenga Shule,Zahanati nk ili uwe mfano wa kuigwa?
Unatakiwa kusoma na kuelewa malengo na majukumu ya vyama vya siasa kwa mujibu wa sayansi ya siasa (political science). Chama cha Siasa sio NGO/ FBO/ CSO.
 
Unatakiwa kusoma na kuelewa malengo na majukumu ya vyama vya siasa kwa mujibu wa sayansi ya siasa (political science). Chama cha Siasa sio NGO/ FBO/ CSO.
Nikweli ila ccm wana shule... Shule za jumuhiya za wazazi...

Labda CCM ni NGO au chama cha harakati
 
Nilikua najiuliza kwa nini wasomi wa Tanzania hawana tija kwa Taifa na hakuna la maana wanalowaza juu ya nchi yao, sasa naanza kuona udumavu ya akili ya wasomi wetu kwani hata mazingira wanayosomea ni hatarishi sana
 
Katika nchi ambayo iko Uchumi wa Kati , nchi ambayo hununua mijidege kwa malipo Taslimu , hizi ndizo shule zake zilizotapakaa kote nchini .

View attachment 1961138

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kwa hyo hakuna chamaana kilichofanyika ,ni mabaya Tu ndo yanayooneka ,je tunawezaje kukuamini kuwa darasa Hilo huwa linatumika .mbona hakuna picha ya mwanafunzi mazingira hayoo ...wewe ni mzushi na nashauli watu wakupuzeee.vyama vya upinzani kila mwaka kuna ruzuku mnapata mbona hamjajenga hata zahanati ya milioni 5
 
Ndugu yangu mimi nilitaka kufahamu tu hivi vyama vya upinzani haviwezi kujitolea kwa kujenga Shule,Zahanati nk ili uwe mfano wa kuigwa?
Kama kuna nchi ina mifumo ya ajabu basi nii yetu. Ilo unalolisema la upinzani kujenga zahanat , shule na other institutions za kuweza kutumika na umma, ni jambo ambalo lina tija sana, na laiti ingekuwa rahisi basi ingesaidia sana. Ila bongo miyeyusho, huwezi fanya hayo mambo bila kibali.

Kuna jamaa alikuwa na mpango wa kujenga barabara ya urefu kama wa mita 900 au 1km, ambayo ilikuwa inapitia nyumbani kwake maana ilikuwa mbovu hasa kipindi cha mvua. Alipoenda kuomba kibali kwa mamlaka husika, wakamwambia hiyo barabara ipo ktk plans za serikali, siku sio nyingi itajengwa, kwahiyo kama anataka kuweka fund basi apeleke hizo hela serikalini ziingizwe kwenye bajeti. Jamaa akaamua kuachana nao.

Mpaka leo hiyo barabara bado ipo mbovu vile vile. Na huyo ni mtu binafsi alitaka kuikarabati ila akatolewa nje. Assume chama cha siasa kitake kufanya ilo jambo, unahisi wataruhusiwa?
 
Ndugu yangu mimi nilitaka kufahamu tu hivi vyama vya upinzani haviwezi kujitolea kwa kujenga Shule,Zahanati nk ili uwe mfano wa kuigwa?
Wapeni nchi ili muone mfano wa kuigwa!Au Kwenye Makusanyo,iwe inatengwa kiasi fulani kwenda kwa wapinzani!
 
Tatizo mnaruka ruka tu na kucheza ngoma mnayopigiwa. Hana mikakati ya kuiondoa ccm
Wakati mwingine CCM haina shida. Shida kubwa ipo kwenye Vichwa vya baadhi ya waliopo ndani ya CCM

Kile Chama kuna wakati Nyimbo zake ziliimbwa mpaka Vilabuni Tena kwa mahaba

Miiko na misimamo Yao ilipendwa mno mpaka wakulima na Wavuvi walijua CCM Chama kinajenga Nchi
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom