Maelfu ya wananchi jimbo la mbeya mjini wanasubili kwa hamu kubwa matokeo ya sugu


D

Dwork1

Member
Joined
May 23, 2010
Messages
33
Likes
6
Points
0
D

Dwork1

Member
Joined May 23, 2010
33 6 0
Katika hali isiyo ya kawaida maelfu ya watu wa mbeya wamejaa nje ya ukuta unao zunguka chuo cha uhasibu ambamo ndimo matokeo ya Jimbo la mbeya yana hesabiwa
Katika hali isiyo yakawaida watu hao wame fyatuliwa mabomu ya machozi lakini wananchi hao wanatembea na chupa za maji kwaajili yakunawa endapo lolote litajitokeza nawatu hawa tawanyiki walanini
 

Forum statistics

Threads 1,252,302
Members 482,076
Posts 29,803,254