mzee alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 711
- 264
Makapi ya cdm yamepokelewa
mtemi chenge alikua na kihoma kidogo,hajafika mkutanoni
mkutano wenyewe una wasikilizaji mamia,sasa hao maelfu waonatoka cdm na kujiunga na ccm wako wapi?
Maneno hayo unadhani ukimwambia mtu kama huyu atakuelewa? Watu wamekuzwa kwenye ujinga hata hawatambui kitu gani wanafanya, na ndio mtaji wa ccm.
View attachment 286641