Maelfu ya mateka ya majeshi ya Ethiopia yalitekwa na Tigray Defense forces yafikishwa mji mkuu wa Tigray

Binafsi siioni Tigrey ikiendelea kuwa sehemu ya Ethiopia tena,

-Kitendo cha Abiy kupiga deal na maraisi wa nchi hasimu kihistoria (Elitrea na Somalia) kuunda mbinu za pamoja kuivamia Tigray (kuingiza foreign power kuthibiti migogoro ya ndani) kulimaliza kabisa uhusiano wa kindugu baina yao,

-Kitendo cha Abiy kutaka kuitudishia Elitrea miji ya mpakani mwa Tigrey na Elitrea ili tu kupata umaharufu duniani, ikumbukwe TPLF ndio walipigana vita kuichukua hiyo miji ambayo ni yao kiasili leo hii mtu hausiki nayo kuirudisha ki makaratasi tu kisa ilikuwa upande wa Italia kipindi cha ukoloni ni jambo la aibu kwa nchi kubwa kama Ethiopia

Stage itakayo fuata sasaivi ni kukubaliana mipaka mipya baina ya Ethiopia na Tigray, hii ndio sababu TPLF hawataki kuweka silaha chini kwa sasa sababu maeneo yao mengi ya mipakani bado yamekaliwa na serikali, mfano Sudan, Elitrea na Ethiopia upande wa south

Pia siioni Tigrey ikikubalika kama nchi hadi miaka 15-20 mbele, itakuwa kama Somaliland tu kwamba mnajiita nchi ila hatambuliki na duniani/UN, uzuri utakuwa na urafiki na baadhi ya nchi na watafungua embassy zao mfano Kenya wana embassy huko Somaliland
Labda kutokee mabadiliko huko mbele sioni njia ya Tigray kuwa Somaliland. Kumbuka tangu kuanguka kwa serikali ya Siad Barre, Somalia imekuwa kiuhalisia ni failed state ambayo juhudi zinafanyika angalau kuwe na dola.

Hii ni tofuti na Ethiopia ambayo ni nchi yenye dola ambayo inajisimamia. Pia ina jeshi ambalo si la kubeza. Tigray ikitangaza kujitenga kuwa nchi utakuwa ndio mwisho wa TPLF. Watapoteza hata ile legitimacy waliyokuwa wamebakiza.

Pia usidhani wananchi wote wa Tigray wanataka uhuru nje ya Ethiopia. Kutaka autonomy ni tofauti na independence. Ethiopia wakiweza kuinua chama mbadala ya TPLF na kikawa cha Wa Tigray na kikapata kiongozi anayesimamia maslahi yao hii ngoma inaishia hapa.

Ila asipopatikana kutaendelea kuwa na msuguano, ila Tigray kujitenga kwa sasa sioni watafanya namna gani
 
Kwani tulisemaje tangu nyuzi za zamani huu mgogoro unaanza. Yani kuna watu humu walikuwa wanadai eti Egypt itapigwa na Ethiopia, Ethiopia hii yenye migogoro kibao ndani wala haina utengamano. Yani nchi iliyopigwa na ka-Elitrea eti ikaipige nchi iliyokomaa na Israel
Menelik II (Amhara) alitandika Italians hadi wakakimbilia Somalia ila Menelik II alibanwa kwa zaidi ya miaka 6 na vikundi vya wanamgambo wa Oromia (1881-6)

Nachoweza kusema wote mkiwa wa eneo moja ni rahisi kujuana tactics na mna share common strategies ila anayetoka nje ndio atakumbana na moto tofauti. I assure you hata hao Tigrayans wakivamiwa na Sudan/Egypt vita itakua ngumu toka siku ya kwanza.

Mifano ni mingi hata Angola iliwachukua miaka 30 kumaliza vita ya Savimbi (Baada ya msaada wa majeshi ya kigeni) ila iliwachukua miezi michache kuzima mashambulizi ya Rwanda na Uganda huko DRC!! So naweza hitimisha hakuna correlation kati ya uwezo kwenye vita za ndani na performance kwenye international war theatres.
 
Labda kutokee mabadiliko huko mbele sioni njia ya Tigray kuwa Somaliland. Kumbuka tangu kuanguka kwa serikali ya Siad Barre, Somalia imekuwa kiuhalisia ni failed state ambayo juhudi zinafanyika angalau kuwe na dola.

Hii ni tofuti na Ethiopia ambayo ni nchi yenye dola ambayo inajisimamia. Pia ina jeshi ambalo si la kubeza. Tigray ikitangaza kujitenga kuwa nchi utakuwa ndio mwisho wa TPLF. Watapoteza hata ile legitimacy waliyokuwa wamebakiza.

Pia usidhani wananchi wote wa Tigray wanataka uhuru nje ya Ethiopia. Kutaka autonomy ni tofauti na independence. Ethiopia wakiweza kuinua chama mbadala ya TPLF na kikawa cha Wa Tigray na kikapata kiongozi anayesimamia maslahi yao hii ngoma inaishia hapa.

Ila asipopatikana kutaendelea kuwa na msuguano, ila Tigray kujitenga kwa sasa sioni watafanya namna gani
Kupata mbadala wa TPLF sio kitu rahisi sababu wao ni kama TANU/CCM kwamba wao ndio walitoka porini wakaangusha serikali ya JUNTA chini ya Mengistu Haile Mariam

Na kipindi hicho hawakuruhusiwa hata kuongea lugha mama yao, walilazimishwa kuongea na kuandika in Amharic huko mashuleni, yani kifupi TPLF ni alama ya ukombozi machoni mwao sababu kihistoria walikua inferior kwa makabila mengine yaliotoa wafalme ie Amharic ila hao TPLF ndio wamefanya waonekane na hadhi waliokuwa nayo sasa

Ni kweli binadamu wanaweza kubadilika ila sio jambo rahisi kwani vitu ambavyo TPLF imewafanyia watu wake ni vingi
 
Ni kweli waliiangusha serikali ya Haille Mariam, lakini lazima uangalie kuwa binadamu husahau ulimfanyia nini bali kwa sasa unamfanyia nini. Vita sio suala la mchezo. Kwa sasa ninaamini kabisa wakazi wa Tigray hawataki vita, bali watakuwa wanataka maisha mazuri bila kurudi kwenye utawala wa aina ya Haille Mengitsu.

Abiy bado ana uwezo wa kucheza karata hii, sema kama ulivyosema sio karata rahisi. Ila inawezekana.
Serikali itafute mtu loyal kwa Serikali ya shirikisho ambaye watamtumia kuwarudishia uhuru wa kijimbo watu wa Tigray. Mtu huyo asiwe amehusika kwenye current conflict na asionwe na kuwa ni mamluki, bali mpatanishi anayetaka haki za watu wake ndani ya muktadha wa Ethiopia moja. Atapewa support na Fed Govt ili kuijenga upya Tigray na kuwapa kile walikuwa wanapewa na TPLF na pengine better kwa sababu hakutakuwa na vikwazo toka Fed Gov.

Lazima awe mtu wa usalama!
 
Ethiopia hana ubavu wa kusimama na Egypt
hawafanani kabisaaaa

Kupigana na waasi ni tofauti na kupigana na taifa jingine , waasi huwatambui bali wao wanakutambua so kuwashinda waasi ni ngumu maana ukikomaa unaishia kuua raia wema mf hao jamaa walikuwa wamejificha hadi walipoona wenzao wamefocus kweny uchaguzi ndipo wakashambulia na aina hyo ya kushambulia hata Tanzania au Misri ikitokea shambulizi la hvyo lZm tupoteane for awhile , waasi wanaeza hata kuwamo unapopanga mipango au baina ya jeshi lako na huwajui ndio maana ni ngumu ku pambania na waasi kuliko taifa jengine refer the strongest communist Somalia ilivyopoteana miaka ya 80 to 90 , pia Liberia 1980s to 90s , Sierra Leone 90s , Libya 2009 , Central Africa 2010s , Drc 1990s to currently , South Sudan 2010s , Syria 2010s , Afghanstan 2000s , and Nigeria , Chad , Cameroon and Niger nchi 4 zimewashindwa Boko Haramu ila it doesnt mean Nigeria hamwezi Algeria au Tunisia
 
... inaanza kunipa shaka uwezo wa Ethiopia kijeshi; kama wanamgambo wa Tigray wanawatoa jasho kiasi hiki ndio watapambana na Egypt kugombea maji ya Blue Nile "roho" ya Egypt? Ethiopia wajipange kweli kweli kama wanataka kulinda legacy ya haki ya kutumia maji ya Blue Nile bila "kuingiliwa" na foreign powers.
Vita haitabiriwi hivyo,mbona yeye egypt amepigwa na israel mara nyingi tu,mpaka amenyoosha mikono,vita ya ndani kwa ndani ni ngumu sana,hata russia alisumbuka sana chechnya...
 
Naam mkuu Nguseroh.....

Hawa Watingrinya wametumia sana mbinu za GORRILLA kufanikisha hayo......

Hao jamaa si wepesi na wajinga.....walijipanga kwa hivi Vita.....walijipanga siku nyingi Sana....walipoliamsha DUDE walitegemea kabisa SERIKALI YA SHIRIKISHO itakuja na nguvu kubwa......

Ethiopia inapitia kipindi kigumu mno.....
 
Kupigana na waasi ni tofauti na kupigana na taifa jingine , waasi huwatambui bali wao wanakutambua so kuwashinda waasi ni ngumu maana ukikomaa unaishia kuua raia wema mf hao jamaa walikuwa wamejificha hadi walipoona wenzao wamefocus kweny uchaguzi ndipo wakashambulia na aina hyo ya kushambulia hata Tanzania au Misri ikitokea shambulizi la hvyo lZm tupoteane for awhile , waasi wanaeza hata kuwamo unapopanga mipango au baina ya jeshi lako na huwajui ndio maana ni ngumu ku pambania na waasi kuliko taifa jengine refer the strongest communist Somalia ilivyopoteana miaka ya 80 to 90 , pia Liberia 1980s to 90s , Sierra Leone 90s , Libya 2009 , Central Africa 2010s , Drc 1990s to currently , South Sudan 2010s , Syria 2010s , Afghanstan 2000s , and Nigeria , Chad , Cameroon and Niger nchi 4 zimewashindwa Boko Haramu ila it doesnt mean Nigeria hamwezi Algeria au Tunisia
Facts 👍
 
Hizi nchi za kimaskini ni shida tupu.
Kinachogombewa haswaa ni nini?
Kuna haja gani kuwepo kwa vita nchini Ethiopia?
Kwanini wasikae chini tu na kukubaliana ili mambo yaishe, ili watu wao wapone, pesa za kupigana vita ziende kwenye maendeleo na wajenge nchi yao?
Mkuu UKABILA....MADARAKA na maslahi.....

Hawawezi kukaa chini na kupatana kwa mustakabali wa muda mrefu....

Kumbuka kwa miaka mingi tu , Watingrinya waliitawala Ethiopia kiserikali na kiuchumi ....walikuja kuondoka madarakani baada ya kifo cha ndugu yao Meles Zenawi na nchi kuongozwa na Haile Mariam Desalegn(baba wa demokrasia).....

Haile Mariam Desalegn alitokea kabila dogo sana huko kusini.....alipoingia madarakani alisimamia maslahi jumuishi ya waethiopia wote...hapa Watingrinya wakaona zama zao ZIMEKWISHA.....

Abiy Ahmed ni chotara wa KiOromo na Kiamhara......

Ethiopia inasumbuliwa na UKABILA NA UCHUMI WA KIMANGIMEZA wa baadhi ya makabila......
 
nimekusoma
 
Uchumi wa kimangimeza unataka kumaanisha nn?
 
Du
Inakuwaje WanaJF!

Tigray defense forces ni nouma. Serikali ya Ethiopia inaminya uhuru wa habari kuficha kinachoendelea Tigray lakini mkong'oto wanaoupokea huko ni wa Hatari. Hii imetokea jana. Hao ni washenajeshi wa Ethiopia walioshikwa mateka wakiwa paraded Mekelle mji mkuu wa Tigray
View attachment 1839522

mng'ato Jumbe Brown
Duh! Hatari wengi hivi au mdebwedo Nini maana SI kwa wingi huo
 
Labda kutokee mabadiliko huko mbele sioni njia ya Tigray kuwa Somaliland. Kumbuka tangu kuanguka kwa serikali ya Siad Barre, Somalia imekuwa kiuhalisia ni failed state ambayo juhudi zinafanyika angalau kuwe na dola.

Hii ni tofuti na Ethiopia ambayo ni nchi yenye dola ambayo inajisimamia. Pia ina jeshi ambalo si la kubeza. Tigray ikitangaza kujitenga kuwa nchi utakuwa ndio mwisho wa TPLF. Watapoteza hata ile legitimacy waliyokuwa wamebakiza.

Pia usidhani wananchi wote wa Tigray wanataka uhuru nje ya Ethiopia. Kutaka autonomy ni tofauti na independence. Ethiopia wakiweza kuinua chama mbadala ya TPLF na kikawa cha Wa Tigray na kikapata kiongozi anayesimamia maslahi yao hii ngoma inaishia hapa.

Ila asipopatikana kutaendelea kuwa na msuguano, ila Tigray kujitenga kwa sasa sioni watafanya namna gani
Si rahisi kuingia chama mbadala, labda uchukue miaka 20 +angalia mfano hapaTanzania, unadhani lini ACT unaweza kuchukua nchi badala ya Chadema ambayo ni chama kikuu Cha upinzani?
Hapo Jambo zuri ni kufanya kama zamani, ambalo nchi ilikuwa na amani, Yaani ni bora Ethiopia aonekane kama ameshindwa kuliko kuendelea na Vita isiyo na faida.
 
Hizi nchi za kimaskini ni shida tupu.
Kinachogombewa haswaa ni nini?
Kuna haja gani kuwepo kwa vita nchini Ethiopia?
Kwanini wasikae chini tu na kukubaliana ili mambo yaishe, ili watu wao wapone, pesa za kupigana vita ziende kwenye maendeleo na wajenge nchi yao?
Mm naona Ethiopia iachane na mambo ya Nile na badala yake ijenge kiwanda cha kufua umeme wa nyuklia basi
 
Back
Top Bottom