Maelezo ya waziri wa sheria na katiba khusu makatazo ktk muswada sikumuelewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maelezo ya waziri wa sheria na katiba khusu makatazo ktk muswada sikumuelewa

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Sungurampole, Apr 8, 2011.

 1. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Binafsi sikumuelewa waziri wa sheria na katiba leo asubuhi(tbc 1) alipokuwa kijibu swali "kwa nini muswada untoa maeneo amabyo wananchi hawatakiwi kujadili?''

  katika majibu yake alisema kinachokatazwa ni 'kufisha' mfano hairuhusiwi wananchi kusema 'hatuutaki muungano' ila kujadili mnaweza kujadili kwa maana ya kuboresha.

  Hapa anasema nini? Nini maana ya mjadala?

  Aliyemueleawa anisaidie mantiki ya hoja yake
   
Loading...