chiseked
Member
- Aug 20, 2019
- 52
- 43
Kiongozi unapoteuliwa au kuchaguliwa tambua una wajibu wa kuwarahisishia maisha wananchi wako kama ww unakuwa chanzo cha ugumu wa maisha basi jitathmini kama unafaa kwa wathifa huo, tumezuiwa ku like na kucoment kwenye taarifa mbali mbali hata tukiziona mtandaoni hii haijapata kutokea mahara popote dunian, bei za vifirush zinapandishwa mara tunaskia gharama za whasap tena nazani ww unapingana na teknologia sijui unataka uturudishe zama zipi sasa