Jana iliripotiwa kuuawa kwa watu wawili kwa risasi morogoro nimeskiliza maelezo ya polisi wanadai walipiga risasi ishirini na mbili juu kutawanya wananch na mbili **ZILIWAGONGA* raia wakafariki sasa nachojiuliza risasi zikipigwa juu ziwagongaje watu wa chini na wakaeleza pia majeruhi mmoja yuko hosptl kwa matibabu lkn uongozi wa hsptl umekana kupokea majeruhi yoyote wa tukio hilo kwahili sjaelekidogo maelezo ya polise