Maelezo ya kwanini natetea Serikali

Acha uzushi weye!!! Eti kuna juhudi kubwa za kimataifa za kuvuruga uhuru na amani nchini!!!! Hivi hamuonagi aibu kuja humu na kuandika ujinga wenu na kudhani watu watawaamini na upumbavu wenu uliotukuka?

Anayeharibu uhuru na amani ya Watanzania na mtu hatari sana ni huyo waliyemsukumizia Ikulu pamoja na kujua fika hana uwezo wa kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kumi mtaani.

Acha na na hizi dhana zako potofu zisizo na kichwa wala miguu au zibebe uende nazo kule kwa majuha wenzio ambao wanaamini kila ujinga unaoendelea nchi hii.

Yote uliyoyaandika ni upuuzi MTUPU kesho kaendeleze ujuha wako kule Lumumba watakuelewa sana.

Ndugu wanajamvi! Kwa muda mrefu nimekuwa naitetea serikali bila kulipwa chochote wala sina mpango was kulipwa.
Kwasababu zifuatazo nimekuwa mstali WA mbele kuitetea nchi hii:

1. Kunajuhudi kubwa za kimataifa za kuvuruga Uhuru na amani ya nchi hii. Nina hakika kuna watu wanalipwa kuvuluga nchi kwa manufaa ya nchi zao.
Sio jambo la kufichaficha nadhani kila MTU anajua tuna rasirimali nyingi sana. Kama ilivyo Siria,Libya, misri,Naijeria,Congo na kadharika. Huko mpaka Leo hapakaliki wamechonganishwa mpaka wamechapana. Nikiona Tanzania naona kuna kidudu MTU kivuluge.

2.Vita kubwa duniani Leo ni soko la bidhaa ili kuongeza ajira za nchi zilizo endelea. Soko kubwa pekee dunian ni Africa. Kwahiyo wazungu wanafanya kila njia tuvuluge amani yetu ili tusijenge viwanda tubakie ombaomba na tuwekewe vikwazo vya kiuchumi tubakie solo LA bidhaa zao.

3.Vingozi dhaifu wa CHADEMA. Sifa moja ya kiongozi dhaifu ni lawama. Kukosa uwezo wa kuwasiliana kujenga hoja zenye mvuto na kuleta fumbuzi chanya. Maandano ni kukubali kushindwa. Na nchi yetu haiwezi kuendeshwa na walalamikaji wasioweza kusimamia hoja za kuleta maendeleo.

Naendelea kesho. .... ....
 
Hata Deo Kisandu ana afadhali huwa anashuka na debe zake alizotunga na kuziweka utube mwimabji mweny au siku nyingine anasema kweli nina ugwadu wa kufa mtu nina hamu ya kugegeda siyo huyu mpuuzi kajitutumua mwenyewe halafu kaishia kuandika ujinga ujinga tu.

Huna tofauti na Deo Kisandu
 
Haha...et kuna juhudi za kimataifa kuvuruga amani ya Tanzania....acha kuchekesha watu wewe...
Amani muivuluge nyie wenyewe na hiyo mitamaa yenu ya uongozi usio hata na tija kwa wananchi halafu unataka kusingizia watu wa nje....
Pambana na hali yako
 
Ndugu wanajamvi! Kwa muda mrefu nimekuwa naitetea serikali bila kulipwa chochote wala sina mpango was kulipwa.
Kwasababu zifuatazo nimekuwa mstali WA mbele kuitetea nchi hii:

1. Kunajuhudi kubwa za kimataifa za kuvuruga Uhuru na amani ya nchi hii. Nina hakika kuna watu wanalipwa kuvuluga nchi kwa manufaa ya nchi zao.
Sio jambo la kufichaficha nadhani kila MTU anajua tuna rasirimali nyingi sana. Kama ilivyo Siria,Libya, misri,Naijeria,Congo na kadharika. Huko mpaka Leo hapakaliki wamechonganishwa mpaka wamechapana. Nikiona Tanzania naona kuna kidudu MTU kivuluge.

2.Vita kubwa duniani Leo ni soko la bidhaa ili kuongeza ajira za nchi zilizo endelea. Soko kubwa pekee dunian ni Africa. Kwahiyo wazungu wanafanya kila njia tuvuluge amani yetu ili tusijenge viwanda tubakie ombaomba na tuwekewe vikwazo vya kiuchumi tubakie solo LA bidhaa zao.

3.Vingozi dhaifu wa CHADEMA. Sifa moja ya kiongozi dhaifu ni lawama. Kukosa uwezo wa kuwasiliana kujenga hoja zenye mvuto na kuleta fumbuzi chanya. Maandano ni kukubali kushindwa. Na nchi yetu haiwezi kuendeshwa na walalamikaji wasioweza kusimamia hoja za kuleta maendeleo.

Naendelea kesho. .... ....
Unatumia bange gani.?
Tuanzie hapo kwanza.
 
Jamaa kapwaya kuijbu hoja alidhani anawaandkiaa wanafunzi wa chekechea,usikurpuke Pascal,huku ni kwa magreat thinker.
 
Ujifunze kwanza r na l zinatumikaje ndipo tukusikilize. Kwa shida hiyo tunajua ni wale wale wenye shida ya lugha.
 
Ndugu wanajamvi! Kwa muda mrefu nimekuwa naitetea serikali bila kulipwa chochote wala sina mpango was kulipwa.
Kwasababu zifuatazo nimekuwa mstali WA mbele kuitetea nchi hii:

1. Kunajuhudi kubwa za kimataifa za kuvuruga Uhuru na amani ya nchi hii. Nina hakika kuna watu wanalipwa kuvuluga nchi kwa manufaa ya nchi zao.
Sio jambo la kufichaficha nadhani kila MTU anajua tuna rasirimali nyingi sana. Kama ilivyo Siria,Libya, misri,Naijeria,Congo na kadharika. Huko mpaka Leo hapakaliki wamechonganishwa mpaka wamechapana. Nikiona Tanzania naona kuna kidudu MTU kivuluge.

2.Vita kubwa duniani Leo ni soko la bidhaa ili kuongeza ajira za nchi zilizo endelea. Soko kubwa pekee dunian ni Africa. Kwahiyo wazungu wanafanya kila njia tuvuluge amani yetu ili tusijenge viwanda tubakie ombaomba na tuwekewe vikwazo vya kiuchumi tubakie solo LA bidhaa zao.

3.Vingozi dhaifu wa CHADEMA. Sifa moja ya kiongozi dhaifu ni lawama. Kukosa uwezo wa kuwasiliana kujenga hoja zenye mvuto na kuleta fumbuzi chanya. Maandano ni kukubali kushindwa. Na nchi yetu haiwezi kuendeshwa na walalamikaji wasioweza kusimamia hoja za kuleta maendeleo.

Naendelea kesho. .... ....
Watetea serikali inayovunja katiba na sheria za nchi, halafu wajivunia? Shetani kakutawala. Hatutachoka kukuombea weye na Mfalme wa Chato I. Mtubu. Amen.
 
Ndugu wanajamvi! Kwa muda mrefu nimekuwa naitetea serikali bila kulipwa chochote wala sina mpango was kulipwa.
Kwasababu zifuatazo nimekuwa mstali WA mbele kuitetea nchi hii:

1. Kunajuhudi kubwa za kimataifa za kuvuruga Uhuru na amani ya nchi hii. Nina hakika kuna watu wanalipwa kuvuluga nchi kwa manufaa ya nchi zao.
Sio jambo la kufichaficha nadhani kila MTU anajua tuna rasirimali nyingi sana. Kama ilivyo Siria,Libya, misri,Naijeria,Congo na kadharika. Huko mpaka Leo hapakaliki wamechonganishwa mpaka wamechapana. Nikiona Tanzania naona kuna kidudu MTU kivuluge.

2.Vita kubwa duniani Leo ni soko la bidhaa ili kuongeza ajira za nchi zilizo endelea. Soko kubwa pekee dunian ni Africa. Kwahiyo wazungu wanafanya kila njia tuvuluge amani yetu ili tusijenge viwanda tubakie ombaomba na tuwekewe vikwazo vya kiuchumi tubakie solo LA bidhaa zao.

3.Vingozi dhaifu wa CHADEMA. Sifa moja ya kiongozi dhaifu ni lawama. Kukosa uwezo wa kuwasiliana kujenga hoja zenye mvuto na kuleta fumbuzi chanya. Maandano ni kukubali kushindwa. Na nchi yetu haiwezi kuendeshwa na walalamikaji wasioweza kusimamia hoja za kuleta maendeleo.

Naendelea kesho. .... ....
kinachoivuruga Tanzania kwa sasa hivi ni hizi risasi za serekali. msianze kuwasingizia Wazungu.

kuhusu hoja...mbona za Lissu zinajibiwa kwa risasi badala ya hoja mbadala?
mbona za mwenzenu Nape zilijibiwa kwa tishio la mtutu?
mbona media imepigwa pini ya dhidi ya kuripoti hoja za wapinzani (wa ndani na nje ya CCM)?
mbona bunge limepigwa pini?

nilicho na uhakika nacho ni kuwa ipo siku CCM itaondoka madarakani na kuna watu kadhaa itawabidi waende ukimbizini!
 
Mburula Kama Wewe Nani Akulipe, Eti "Nyatetea Cherekali Biya Kuyipwa" Yani Hata Ungekuwa Unalipwa Kwa Ajili Kutetea, Hao Walipaji Wangetukana Na Ungerudisha Hela Zao Kama Uteteaji Wenyewe Ndio Huu Wa Kuandika Mashudu + Pumba Za Kuku. Idiot
 
Eti "Wajungu Wanyafanya Kila Nyia Tuhuluge Amani Tusinyenge Vinywanda" Hihihihiii.. Aisee Mimi Sijasoma Ila Ili Jitu Limenizidi Uzuzu, Sikia Tukueleweshe Kidogo Wewe Kilaza Usiyejielewa, Mugabe, Kim Jong, Castro Waliwadanganya Hivi Hivi Wananchi Wao, Oh Wazungu Wezi, Oh Wazungu Wanatuvuluga, Badala Yake Wananchi Wamejikuta Na Umaskini Wa Kutupwa. Kila Wanaloambiwa Wanafanya Kama Mazuzu
 
Ndugu Zako Wanaua Watu, Wanataka Uchaguzi Lazima Washinde Wao Kwa Njia Yoyote, Wazungu Wapo Wapi Hapo, Watu Wakikasirika Nyie Mazwazwa Mnaambiwa Kaandikeni JF Kwamba Ni Wazungu Hao, Wanataka Rasilimali, Rasilimali Gani, Africa Inafanana Tu Kila Unachokiona Hapa Karibia Kila Nchi Kipo, Labda Mt K'njarob Tu, Kwa Nini Wasichonganishe Zambia, Ghana, Kenya etc Kama Umetumwa Kawaambie Waliokutuma Kwamba Tatizo Ni Hatuna Mipango Ya Kukuza Uchumi Wa Nchi, Na Viwanda Haviwezi Kujengwa Bila Mipango, Wazungu Ndio Wanaounda Hivyo Viwanda Na Teknolojia Inatakiwa Tutengeneze Mahusiano Mazuri Nao Ili Tuendelee Kama Walivyofanya Dubai. Sasa Kaeni Munawasingizia Wazungu Wakati Nyie Ndio Hamjui Mnachokifanya Hapo. Kagame Na Museveni Watawaletea Viwanda.
 
Hata Deo Kisandu ana afadhali huwa anashuka na debe zake alizotunga na kuziweka utube mwimabji mweny au siku nyingine anasema kweli nina ugwadu wa kufa mtu nina hamu ya kugegeda siyo huyu mpuuzi kajitutumua mwenyewe halafu kaishia kuandika ujinga ujinga tu.
Mara chache sana mimi na wewe hua tunakua katika mstari moja leo ni kati ya hizo siku chache nakubaliana na wewe. Mtu yeyote anayeunga mkono vitendo vya serikali vya hivi karibuni lazima apelekwe hospitalini akachunguzwe kwanza kabla ya kujibizana naye.

Maandamano ni haki ya kikatiba ya kila mtu ili mradi ni ya amani. Polisi kazi yao kubwa ni kulinda maandamano na wala si kuyazuia. Nilimuonyesha clip moja askari mmoja wa kiingereza na nikamuomba ushauri yeye kama professional kama anakubaliana na alichokiona katika ile video aliduwaa hakuwa na jibu bali aliniambia ingekua sheria za kwao viongozi wangeitwa katika kamati ya bunge kuhojiwa labda aliyefanya hilo tukio angesimamishwa kazi kupisha uchunguzi.

Kwetu watu kana Paskali Ndege wanaleta unafiki kutetea serikali kwa sababu za kijinga na hawa ndiyo wapo radioni kutoa mafunzo kweli kama ndiyo Tanzania tunawategemea kama political pundit tuna safari ndefu.
BAK mimi na wewe tunatofautiana sababu wewe ni mfuasi wa chama mimi ni independent hivyo kwa suala kama hili siasa ziwekwe pembeni.
 
Ndugu wanajamvi! Kwa muda mrefu nimekuwa naitetea serikali bila kulipwa chochote wala sina mpango was kulipwa.
Kwasababu zifuatazo nimekuwa mstali WA mbele kuitetea nchi hii:

1. Kunajuhudi kubwa za kimataifa za kuvuruga Uhuru na amani ya nchi hii. Nina hakika kuna watu wanalipwa kuvuluga nchi kwa manufaa ya nchi zao.
Sio jambo la kufichaficha nadhani kila MTU anajua tuna rasirimali nyingi sana. Kama ilivyo Siria,Libya, misri,Naijeria,Congo na kadharika. Huko mpaka Leo hapakaliki wamechonganishwa mpaka wamechapana. Nikiona Tanzania naona kuna kidudu MTU kivuluge.

2.Vita kubwa duniani Leo ni soko la bidhaa ili kuongeza ajira za nchi zilizo endelea. Soko kubwa pekee dunian ni Africa. Kwahiyo wazungu wanafanya kila njia tuvuluge amani yetu ili tusijenge viwanda tubakie ombaomba na tuwekewe vikwazo vya kiuchumi tubakie solo LA bidhaa zao.

3.Vingozi dhaifu wa CHADEMA. Sifa moja ya kiongozi dhaifu ni lawama. Kukosa uwezo wa kuwasiliana kujenga hoja zenye mvuto na kuleta fumbuzi chanya. Maandano ni kukubali kushindwa. Na nchi yetu haiwezi kuendeshwa na walalamikaji wasioweza kusimamia hoja za kuleta maendeleo.

Naendelea kesho. .... ....
Nitumie namba ako nikupe zawadi.umeongea mambo ya msingi kbs.napenda nikuambie jambo moja.nyuma ya chadema kuna kitu kimejificha.
 
Hakika nakuambia.kuna watu wajinga nchi hii,wanaaminishwa na wajinga wenzao kuwa matatizo na umaskini wao umesababishwa na ccm,na chadema ikiingia madarakani watakuwa matajiri na shida zoote zitakwisha cku moja.km babu yao alivyowahi kuahidi wkt wa kampeni,kuwa cku akishinda nyumba za majani zoote zitakwisha ndani ya siku 100.na ile misukule na ikashangilia.
 
Back
Top Bottom