Maelezo kwa waliochaguliwa Usagara Tanga

Jun 14, 2016
50
14
NDUGU mwnfz kama umechaguliwa shule ya usagara-tanga na hujui ufanyeje
Au NDUGUYO au huna maelezo zaid tafadhali nitafute kwa 0716361203
Lengo ni kusaidiana Wenda ndo Mara ya kwanz kusikia tanga au usagara
 
Kutembea miaka 21 mpaka Usagara si kitoto, waambieni mamlaka husika waweke route ya daladala au mpate school bus
 
usagara nakupenda wala sitokusahau
kila ntakapokwenda daima ntakutangaza.....
YAN HAPO TU NDO PANGU KWENYE SKUL SONG!!
anayekumbuka song jaman naniiii
 
usagara sec.nimepamisi sana mzimuni unasoma huku unacheki warembo wakipitaa
 
Moja tisa tano sita wagenii walimiliki ikaitwa karimjee serikali ikatwaa ikaitwaa usagara twasoma twafurahia.... usagara nakupendaaa wala sitakysahau uuuuhhh... kila nitakapokwenda daima nitakutangaza...
 
Back
Top Bottom