Maelezo jinsi Mke wa Bilionea Msuya alivyomuua wifi yake yasomwa mahakamani

Tabia ya ndugu kupenda mirathi imefanya familia nyingi za marehemu kuishi maisha magumu sana. Tutafute hela ili tusijegombana na wake na watoto wa marehemu.
 
Mtu anachinjwa kama Mbuzi , halafu inategemea usikamatwe , Plan za mauaji za kishamba kabisa hizo , Yaani na simu walimnunulia Binti wa Kazi Ina maana walikuwa hawajui kuwa Wana acha alama ya ushahidi endapo wakifuatiliwa mitandaoni, Mijinga kabisaaa roho mbaya na choyo ime waponza wanastahiki kunyongwa na wao
Ninamuwazie yule yatima aliyeachwa na mamake 🥲🥲
 
Back
Top Bottom