Maelezo binafsi ya mgombea wa CCM jimbo la Igunga Dk. Kafumu

Wana Igunga hawahitaji cv za makaratasi, wanahitaji utendaji wa mtu atakayewatoa kutoka lindi la umaskini. CV zake abandike ukutani mwa chumba chake. Hana lolote la maana kwa jamii. Nafasi zote alizoshika haioneshi amesukuma namna gani maendeleo ya jamii.

Huu ni wasifu wa Dr Kafumu. Hapo kwenye red panatia shaka kwa mustakabali wa wana Igunga ambao sio waislamu

JINA: Dk. Dalaly Peter Kafumu

KUZALIWA: Agosti 4, 1957

MAHALI: Kijiji cha Itumba, Tarafa ya Igunga Wilaya ya Igunga mkoani Tabora.

NDOA: Nina mke na watoto watano ambao kati yao watatu ni Madaktari wa binadamu, wengine wawili bado wanasomea Udaktari wa Binadamu na mmoja anasoma Stashahada ya Ufamasia.

ELIMU:

*Shahada ya kwanza ya Madini- BSc (Geology)-1983

*Stashahada ya Elimu-PGD (Education)-1987

*Shahada ya Uzamili ya Madini-BSc (Geology)-1995

*Stashahada ya Utafutaji Madini-PGD (Mineral Exploration)-1991

* Sahahada ya Uzamivu ya Madini-Ph.D (Geology)-2000

UZOEFU CCM

*Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa TANU (TYL) tawi la Itumba (1971-1972)

*Mjumbe wa Kamati ya Siasa na Halmashauri Kuu ya Tawi la CCM, Madini (1983-1992).

*Mjumbe wa Mkutno Mkuu wa Wilaya na mkoa wa Dodoma (1983-1992).

*Katibu wa Tawi la CCM, Madini Dodoma (1988-2011).

*Kada wa CCM (1988-2011).

UTUMISHI WA UMMA

*Kamishna wa Madini Tanzania (2006-2011)

*Mkuu wa Mawasiliano Wizara ya Nishati na Mdini (2004-2006)

*Mkuu wa Kitengo cha Uhamasishaji na Takwimu Wizara ya Nishati na Madini (2002-2004).

*Mtaalam Mwandamizi wa Madini (1993-2002)

*Mhadhiri Chuo cha Mdini Dodoma (1978-1992)

*Mtaalam wa Madini Wizara ya Nishati na Madini (1983-1987).

TAALUMA

*Mtaalam Bingwa wa Madini Nchini.

*Mwanachama wa Chama Cha Wataalam wa Madini Tanzania na Afrika.

*Mjumbe wa (II)) Bodi za Usajili wa Makandarasi (II) Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

MCHANGO KWA TAIFA

*Mtaalam wa Madini (1983-1987)

Nilishiriki kwenye utafutaji wa madini na kugundua machimbo mengi ambayo sasa yanachimbwa na kuleta mapato, ajira na kukuza uchumi wa taifa.

*Mhadhiri wa Chuo cha Madini (1987-1992)

Nilifundisha mafundi sanifu katika fani ya madini, zaidi ya wahitimu 1,000 wanalitumikia taifa katika nafasi nyingi serikalini na kwenye sekta ya madini nchini.

*Mhadhiri wa Nje wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (2004-2006)

Nilifundisha masuala ya Jiolojia ya Mazingira na kuhitimisha wanafunzi zaidi ya 500 ambao sasa wanalitumikia taifa na katika sekta mbalimbali nchini.

*Kamishna wa Madini (2006-2011)

Nimesimamia marekebisho ya sheria ya Madini ya mwaka 1998 ili kupata sheria ya mwaka 2010. Sheria mpya inahakikisha kwamba:-

(i) Serikali na Wananchi wanashiriki zaidi katika uwekezaji madini kwa kupata hisa kwenye migodi.

(ii) Wananchi wanaoishi kwenye maeneo ya migodi wanafidiwa vizuri, kujengewa makazi mazuri na kushiriki kwenye mradi husika.

(iii) Kampuni kulipa kodi na mrahaba kwa viwango vya juu zaidi.

(iv) Wachimbaji wadogo wanatengewa maeneo yao, kupewa leseni zenye muda mrefu ili waweze kupata mitaji kutoka kwenye taasisi za fedha;na

(v) Viwanda vya uongezaji thamani ya madini vinajengwa hapa nchini ili kuongeza ajira na kukuza uchuni; na

(vi)Madini ya vito (Almasi, Tanzanite, Ruby na mengineyo) yanachimbwa na Watanzania tu.

MCHANGO KWA IGUNGA

*Kamishna wa Madini (2006-2011)

(i) Nilisaidia wachimbaji wadogo nchi nzima kupata maeneo na viwanja kwa ajili ya uchimbaji madini.

Kwenye Wilaya ya Igunga nimewasaidia wachimbaji wadogo wa madini kuwapa leseni maeneo ya Bulangamilwa na Nanga.

(ii) Kuwapatia soko la dhahabu mjini Nzega na Dar es Salaam wachimbaji wadogo wa dhahabu wa wilaya ya Igunga.

(iii) Kuwashauri wachimbaji wadogo nchini na Igunga kuhusu umuhimu wa kufuata sheria na kanuni za madini ili wasidanganywe na watu wanaotumia sekta ya madini kutapeli na kuwaibia.

(v)Ofisi yangu kama Kamishna wa Madini ilikuwa wazi kwa wana Igunga wote kufika na kuopata ushauri, maelekezo na msaada waliohitaji.

HUDUMA KWA JAMII (2005-2011)

(i) Kujenga Misikiti miwili katika Kata ya Itumga, kutoa vitabu vya rejea na kiada kwa shule kumi za sekondari wilaya ya Igunga:- Itimba, Igunga, Mwamashimba, Mwisi,Mwanzugi, Igurubi, Manshiku, Simbo na Nanga.

(ii) Kufadhili vikundi vya kina mama, Kata ya Itumba, Kwaya za Madhehebu ya Kikristo Igunga mjini na Mwanzugi.

(iii) Nikiwa mwanachama wa Igunga SACCOS nimekisaidia chama changu kwa ushauri wa kitaalam na kutoa ada na hisa na michango yangu kwa wakati.

(v) Nikiwa mlezi wa Vijana Kata za Mwamashimba na Itumba nilifadhili vifaa vya michezo (mipira, jezi na kombe) na kuendesha ligi ya mpira wa miguu katika kata hizo mwaka 2009-2010.

(vi) Nilitoa mchango wa sh. 800,000 kuchangia ujenzi wa visima virefu viwili Kata ya Itumbi.

HUDUMA KWA UMMA WA TANZANIA

*NikiwaMjumbe wa Bodi ya Makandarasi (2006-2011) nimesimamia kuandikisha makandarasi nchini wanaotoa huduma za ujenzi kwenye sekta ya barabara na majengo na nikiwa mjumbe wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Dodoma (2009-2011) nilishiriki katika usimamizi wa chuo hicho ili kutoa viajana wasomi bora wa kulitumikia Taifa la Tanzania.

Mwigulu Etal,
Mshauri ajaribu aina nyingine ya ujanja wa kizamani, hakuna lolote la maana hapa, tunataka damu moto ya vijana kuleta mabadiliko, huyu anayejinadi kama 'kamishna' yaonekana ni gamba jingine, ona kaka, huyo RA juzi kati alianikwa madudu yake na mtu wenu mliyempa ukada wa CDM kwa sababu zenu mnazozijua, tukalisema na sasa hawezi tena kushiriki na nanyi kwa upuuzi wenu na gutter politics japo Mkkwere alimwangukia, Igunga mtamwaga sana noti lakini mwisho ni kupigwa chini tu, twende kazi...

Duh mkuu Kafumu umetishaje, yaani kwa CV hiyo unapata kura kiulainiii kama unanawaaa. Sasa ngoja tuone CV ya mgombea wa MAGWANDA, yaani haifiki hata robo ya ukurasa.

KAMUULIZE KIHIYO

UZOEFU CCM
*Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa TANU (TYL) tawi la Itumba (1971-1972)
*Mjumbe wa Kamati ya Siasa na Halmashauri Kuu ya Tawi la CCM, Madini (1983-1992).
*Mjumbe wa Mkutno Mkuu wa Wilaya na mkoa wa Dodoma (1983-1992).
*Katibu wa Tawi la CCM, Madini Dodoma (1988-2011).
*Kada wa CCM (1988-2011).

Nilini watumishi wa serikali walirudi kuwa makada wa chama?
Hivi hatuna tena suala la mtumishi wa umma kuwa neutral?
TUMEKWISHENI!!!!!

Duh mkuu Kafumu umetishaje, yaani kwa CV hiyo unapata kura kiulainiii kama unanawaaa. Sasa ngoja tuone CV ya mgombea wa MAGWANDA, yaani haifiki hata robo ya ukurasa.

Hapo unajifariji tu, jimbo kwa chadema

I am very sad that he has decided to abandon all of his professional carrier and jump into a dirty game a.k.a politics ..... he has been walking on a clear and clean path and now he has decided to step on shit

Wish him all the best
Nakuunga mkono, kamishina wa madini ni mtu mkubwa sana, na kifedha wewe ni trilionea, sijui wanatafuta nini huko bungeni? waru wanapenda lawama jamani. Ningekuwa mimi ningetulia zangu nijilie vyangu kwa raha bila bugudha.

Hawezi kuleta na za wengine kwa sababu hazifiki hata robo ukurasa. Ha ha ha ha haaa

Tunajua wewe ni ccm gamba, ila get to know humu jf hakuna mtu anayetoa mawazo machafu kama wewe.. Tunajadili umaskini na ugumu wa maisha wa watanzania na sio kuweka kurasa kumi za cv zenye kuonyesha porojo, kama mgombea wako yuko siliazi basi aende chuo cha madini akafundishe kwa maana ana cv ndefu, ila ona na hili, hatuhitaji cv tunahitaji ukweli, uhalali, uwajibikaji, na huruma kwa watanzania na zaidi sana kwa magamba na wajinga kama wewe, nawasilisha...

Good yaani safi!

Tupatie Vyuo alivyosoma na pia tupe ushiriki wake katika mikaba feki ya Madini, hasa ule wa Karamagi, Buhemba - Meremeta, Nyamongo na ule wa Nzega.

Tunasubiri maana haiwezekani kawepo wizara ya Madini msomi alafu tumeendelea kuibiwa na hata kuingizwa mikataba mibovu kila kukicha.

Mkuu, nilijua Mwita 25 akisoma reply yangu angeelewa, ila kwa upuuzi wake na uchama wake hana jibu, @mwitz -jibu hili na kurasa zenu kumi za cv feki...

UONGO.
1. Amesaidia serikali kupata mrahaba mkubwa kwenye madini. Huu mrahaba wa 3% aliosema Jk mwaka jana kwamba tunapata mrahaba wa 3% kwenye madini, na akasema kuna haja ya kuangalia upya sheria zetu ili uongezeke ndo jamaa anajisifia. Hapa amedanganya.
2. Anasema amewasaidia wananchi wanaoishi karibu na migodi kupata haki zao na kuwa na mahusiano mazuri na wamiliki wa migodi. Hapa jamaa anamdanganya nani? Nani asiyejua matatizo ya watz wanaoishi karibu na migodi, amewahi kutatua migogoro ya Bulyanhulu,Nyamongo,Geita nk. Hapa anawadanganya wasiojua ukweli.
3. Anadai amewezesha wachimbaji wadogo kupewa maeneo na leseni za mda mrefu ili wafanye kazi zao vizuri. Sio kweli wachimbaji wadogo wanapiga kelele kila siku na hakuna wa kutatua matatizo yao kila mara serikali inawahadaa tu. Hapa sikubaliani nae. Huko kwenye Academic Qualification hatui, labda tumuulize Kaneurubaga Msemakweli ndo anajua kuwachamvua. Mtu anae daganya hafai kuwa mbunge, atawahadaa wana Igunga.

Sikuona sehemu ambayo inasema alimsaidia ANBEN kupata leseni na kujitwalia mgodi wa Kiwira. Ndiyo maana fisadi Mkapa anakwenda kufungua kampeni kumsaidia fisadi mwenzake.....payback time.

Acha kudanganya watu wewe. Tunahitaji wasomi kama hawa kwenye siasa ili kusaidia kuharakisha maendeleo.
Kuharakisha maendeleo? Kwani maprofesa walioko sasa hivi kwenye siasa wameleta maendeleo yapi?

CV iko makini sana wasomi nchi hii tunao wengi ila si wote wako kuwaaidia wananchi maendeleo.
Elimu yake hiyo wanaigunga ndyo wanaomfaham na ndyo watampa kura za ndyo au hapana

Wasomi wengi wako kwenye siasa na hawatusaidii chochote when it comes to dubious deals and corruption.what we need is integrity and tranguility..tunahtaji watu wanaochukia ufisadi na wanaomcha Mungu..waaminifu kwa maana ya kutekeleza majukumu yao kwa hofu kuu kwa kujua kuwa wanawajibika kwa wanadamu na pia kwa Mungu...watu wa namna hii ndo tunaowahtaji.wenye cv kama za dk.kafumu ni wengi na wengi wao ndo vinara wa ufisadi na wamejawa na ubinafsi...dk kafumu anasifa hizi? Nani anazo miongoni mwao anyway?

Mwita25 ana kazi kubwa ya kusifia chama kinacho kufa, sasa mtu anasifia Cv yenye kurasa 10 bila kuangalia utendaji wa mtu. Haya tangu 2006 mpaka leo yuko sekta ya madini. Twambie amewesha nini serikali na watz wakanufaika na hayo madini kama sio wazungu. We Mwita25 unasifu hata ushudu mjini kuna watu wana cv paga 30 ila kichwani kweupe sasa wewe unapagawa na cv. Napata shaka juu ya elimu yako sababu uwezo wa kufikiria ni mdogo mno afadhali wanaotumia masaburi wewe una matatizo ya Medula Oblangata.

Sasa yy kama mtaalam wa madin amewezaje kusaidia nchi inufaikeje mana pande hizo za madin ndo kila mtanzania analalama kuwa haziwasaidii wazawa. Kama ameshindwa kutusaidia huko atawezaje bungen? Na macv yote hayo ila hatufai kabisa.

Acha kudanganya watu wewe. Tunahitaji wasomi kama hawa kwenye siasa ili kusaidia kuharakisha maendeleo.

Kafumu ni bonge la opportunist hana huruma na Nchi .Kama unabisha unadhani wa maana basi ngojea kampeni zianze utasikia .Madini yana shida kubwa Nchini akiwa ni mmoja wa walio shiriki ujinga mwingi .Jamaa ni msiri na hana mpango wa kuiendeleza Taifa I know him personally nina yajua mengi yake only matter of time nitayamwaga hapa .

Kama kuna watu wa msaada ndani wa Magamba basi wako ma Prof wa kumwaga huko akiwemo maji marefu lakini leo Tanzania iko wapi ? Haina umeme , Maji safi , barabara, huduma bora hosp ,mawasiliano adimu nk migogoro nchi nzima nk hao wako huko zaidi ya Kafumu .

Pole sana Mwita Maranya .

Mwita25 ana kazi kubwa ya kusifia chama kinacho kufa, sasa mtu anasifia Cv yenye kurasa 10 bila kuangalia utendaji wa mtu. Haya tangu 2006 mpaka leo yuko sekta ya madini. Twambie amewesha nini serikali na watz wakanufaika na hayo madini kama sio wazungu. We Mwita25 unasifu hata ushudu mjini kuna watu wana cv paga 30 ila kichwani kweupe sasa wewe unapagawa na cv. Napata shaka juu ya elimu yako sababu uwezo wa kufikiria ni mdogo mno afadhali wanaotumia masaburi wewe una matatizo ya Medula Oblangata. Labda kuna siku utarecover kama Arafat alivyo sasa

Kwa Tz, nawaheshimu ''Brew masters''
wanatengeneza kinywaji mpaka sisi wanywaji tunakubali, tunakunywa ipasavyo na viwanda vyao vinaongoza kwa kulipa kodi....ili hawa makenge wengine wanaojiita mabingwa wapate mishahara, bingwa my bottom!
Wataalamu wengine ninaowaheshimu ni walimu na hasa wa shule ya msingi au awali.
Hakuna cha dr. Kafumu wala choroko.

Kamishina wa madini analipwa shi ngapi, naona huyu jamaa anauroho mkubwa wa madaraka hivi kamishina wa madini Tanzania nzima anakimbia hiyo post ili awe mbunge hivi kwa akili ya kawaida huyu jamaa anafaa kweli? Mie naona anataka pesa nyingi zaidi sio kutumikia wana Igunga. Nawashauri wana Igunga wawe macho na huyu Kafumu atawafumua mbaya

Back
Top Bottom