maelekezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maelekezo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by damianmuhe, May 15, 2011.

 1. d

  damianmuhe New Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi si mwenyeji wa mtandao huu, na sijui ninayoandika hapa au yanabaki ofisini. naomba ambaye amenielewa anielekeze 'page' ya kuwasilisha mawazo/hoja zangu kwenye e mail yangu(damianmuhe@yahoo.co.uk).

  natanguliza shukrani kwa atakayenipa maelekezo kupitia e mail yangu.
  ndimi Damian J. Muhe
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mbona upo sehemu sahihi......kama una mawazo na unataka kuyaweka hapa jukwaani we weka tuu.......
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ''...hapa jukwaani we weka tuu.......'' (Preta, May 15,2011)
   
Loading...