OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,162
- 103,604
ukiwa unakojoa mkojo katisha ghafla kuna msuli utakua unakaza,basi huo ndo msuli husiku kwa zoezi hilo,
wabongo tuna tatizo la kufunguka katika mambo ya kitaalam
ukiwa unakojoa mkojo katisha ghafla kuna msuli utakua unakaza,basi huo ndo msuli husiku kwa zoezi hilo,
habari wanaJF,
Naomba kama kuna msamalia mwenye video ya mazoezi ya KEGEL anirushie. Nahitaji kuyafanya mazoezi hayo na kwenye Internet/google napata vipiece vya hovyohovyo tu.
natanguliza shukrani.
Choba
Lengo lako la kufanya Kegel ni nini? Unataka kukaza misuli ya Uke?
ya kiume...
Then ikishakaza what's next? inaongeza kitu gani mwilini au una tezi dume?
acha ______. kama huna basi lala mbele...
Teh teh teh
Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
wahanga wa tatzo la nguvu za kiume ndio..-au ulzani wahenga