maelekezo kadhaa wap naweza kupata duka zur la simu za kueleweka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maelekezo kadhaa wap naweza kupata duka zur la simu za kueleweka!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Blessed, Sep 11, 2012.

 1. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  husika na kichwa hapo,nahitaj kupata simu Nokia ASHA,Samsung DUOS, NA SIMU NYINGINE YA LG YENYE LINE MBILI,KAMA UTAWEZA KUNITAJIA Gharama husika na mahali jijini Dar es salaam.isiwe ya promotion,nashukuru kwa muda wako na muongozo wako!
   
Loading...