chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,824
Akili za ubongo kipimo Cha uzito wa gram 3.01 hizi. unafananisha airport na stendi !!!???.
USIJITIE HAMNAZO.Hao machinga, bodaboda, mama lishe na wachoma mishikaki ndio wanaotoa huduma kwa mtanzania wa kawaida atakayetumia stendi hiyo.
Huko JNIA unakotolea mfano hakuwahudumii watanzania wa kawaida. Acha wanyonge wafanye kazi.
Ina maana tutaendelea kuwa wanyonge miaka yoteIdadi
Idadi ya wanyonge itapungua, lakini wataendelea kuwepo siku zote za maisha yetu ya ubatili chini ya jua. Hata USA kuna wanyonge.Ina maana tutaendelea kuwa wanyonge miaka yote?
Ni kweli wapiga debe na wamachinga wanakera, lakini siku zote hua najizuia kuwalaumu. Hawa watu ni watanzania wenzangu, tena wenye vipato duni, na wameamua kujitafutia mkate wao kwa njia halali.USIJITIE HAMNAZO.
Keshoo utakuja na kero/malalamiko oooh, majinga, wapiga debe kero stand ya mbezi.
Yote kwa yote stendi ya dodoma ni mfano, hao wapiga bebe wapo ila wanakuwa trick sana na machinga wana vizimba vyao ndani, pembeni ya stendi.
NOTE: Vaa barakoa na unawe mikono kwa sabuni na maji tiririka pia ukae mbali na mikusanyiko.
Lugha hii imenishangaza sana, hasa ukizingatia amesema ni stand ya kimataifa!Rais wa wanyonge akasema Machinga nao waingie humo, mamalishe wapike uji humo, boda-boda wapaki pikipiki humo, mshindi ya kuchoma na mitumba iuzwe madirishani kwa abiria nk. Ukweli ni kwamba kama haya yataachwa yafanyike tusahau hadhi ya Stendi hiyo kuwa ya Kimataifa. Haitokuwa tofauti na Manzese.
Exactly!Mchezo unaochezwa hapa ni kuwa na wanaoitwa WANYONGE,
Sinema kamili kwenye kuongezewa muhula mwingine,2025-2030,
Hiyo wanyonge haitumiki Bahati mbaya,ndio FIMBO Yenyewe hiyo,tulieni mtaniambia
Acha ujinga, bado unamuota Tundu Lissu?We ulitaka paitwe Tundu lisu bus terminal
Hata mimi naona hivyo maana hawa watu wametengenezwa wengi kweli kweli.Mchezo unaochezwa hapa ni kuwa na wanaoitwa WANYONGE,
Sinema kamili kwenye kuongezewa muhula mwingine,2025-2030,
Hiyo wanyonge haitumiki Bahati mbaya,ndio FIMBO Yenyewe hiyo,tulieni mtaniambia