Madwawa ya kulevy yanatoka nje ya nchi kupitia uwanja wa JNIA, wabaneni hao kwanza Mh. Rais

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
Simbaya kukumbuka hotubaya Rais anasema ameanza kupambana NA wrote wanaodili NA pembe za ndovu NA kadhalika

Sasa Basi kumekuwa na nguvu kubwa kuthibiti mizigo ya unga inayokwenda nje ya nchi

mh rais mtandao wa pale n mrefu mkali sio tu hapo hadi wanaowaleta tunaamini uongozi wako uko imara unalifanyia kazi

madawa ya kulevya ama dope yamekuwa yakiingizwa sana hapa nchini nimeona sehemu ndege za usiku la hasha usikj zinapeleka na sio kuingiza

vijana wako wakiwa makini mtakuwa mnawanyoosha waletaji kila siku kwakuwakamata..nn kifanyike

kuanzia uongozi wa jnia security uliokuwepo na wasaidizi wake hapa namaanisha hadi supervisor peleka wizarani...weka wengine waapya

nenda idara ya madawa ya kulevya nayo safisha hii usiache ata nzi peleka wapya....

Nenda idara ya kunusa mbwa hapa badilisha top zao na baadhi yao peleka kilwa road kwa kazi nyingine zaidi...peleka kikosi kipya cha kazi

ukitoka hapo kuna mashine ziko pale wakati wa kuingilia hizi nazo rekebisha zote zifanye kazi...usibakie hapo.....tunajaribu kuvunja mianya yao

piga marfuku kabisa polisi kumsaidia begi abiria ama kuonesha mazungumzo yoyote yanayoleta sitonfahamu..n airport ya tanzania tu utakuta mwarabu ama mzungu anaingia policew anawabebea begi wanasimama kusubiri achk in haohao wanakwenda immigration wanawandikia kadi za uhamiaji wanapanda juu bila haya kabisa ....wakati mama zao ama dada wanasafiri wanaishia kuwaaga chkn counter ondoa ama piga marufuku kabisa....

Fanya daily chk ya vijana wako wazunguke geti zote za airport zinazoingiza na kutokea abiria...

Gate no 3;hii ni mimba wazazi wake mtawatafuta miaka nenda rudi..mh waziri .raisi nenda weka cctv hapo..kama ipo imekufa niaka yote hii utaipata tanzania tu

weka vijana wa takukuru kwenye parkig wakiona mapolisi wanawasogelea ovyo raia nao wawepo eneo la tukio....

Parking mbili za mwisho hii n vichekesho cctv zake azionekan kamwe pale hata uibiwe sahau kupewa msaada kamwe naamini mh waziri utalitatua hili.....aiwezekani wanachukua pesa alafu emerg mtu hana msaada.fanya survey yako utaona magari mengi yalioibwa airport yamekuwa yakiibwa hizo parking za mwisho.....

hii hata ukianza kufwstilia mbebea madawa kama akielekea kule utamwona mwisho akiishia parkn za mwanzo.......

Polisi wapewe ushirikiano kama mnaelewa wanaitaji even extra allowances kwa kweli bila hivyo sahauni swala la kukamata madawa hao n binadamu pia....

Ukipanda hotel ya mhindi juu mwisho kabisa upande wa kulia kuna mlango..ule mlango hutumika kuingiza vitu cya mhindi wa dutyfree..ikumbukwe mlango huu ukifungua kulia unakuta lounge ya intern ya huyu bwana .hii wanaweza kwa nia mbaya kuitumia m..nao n binadamu..ikumbukwe akiingia intern lounge kama n mtu ana madawa last posn n kuboard ndege hapo vema mkafunga na kufuli ama.lock zenu na funuo zikaka wizarani

njia nyingine ambazo wanaweza kupitisha haya madawa...wanapoingizavinywaji vya duty free mara chache sana kuvipitisha kwenye mashine. A hata baadhi vikipita na kelele akuna follow up..vinywaji hivi sometimes wanaweza kutumia watu hawa kupandisha madawa yao...na vinapofika juu last n kuboard..sisemi wao wanafanya bali wapo wanaobeba wanaweza tumika.....

.....ngoja tukapate chai....kwa hayo mkifanikiwa tutaendelea kuwajuza nn kifanyike
 
HATUA LAZIMA ZITACHUKULIWA. ..ASANTE KWA INFORMATION. ..
 



Ngoma ya dope ni kama nani amfunge paka kengele,we we Anglia hiyo cheni inayohusika hapo ilivyo ndefu na well organized.. Ila mkuu kwa hizi info inaonekana unajua vitu vingi..kua makini sana
 



Ngoma ya dope ni kama nani amfunge paka kengele,we we Anglia hiyo cheni inayohusika hapo ilivyo ndefu na well organized.. Ila mkuu kwa hizi info inaonekana unajua vitu vingi..kua makini sana
Nikweli hats mh hotubayake moja alisikia mtetemeko akataja NA kadhalika
 
Mkuu pdidy,kama kweli tungekuwa na nia ya dhati ya kulimaliza hili janga,watu kama wewe mngeshatafutwa na mamlaka husika ili muweze kuweka info zote hadharani kurahisisha uchukuaji hatua. Sasa mkuu pamoja na jitihada zako zote unazozionyesha miaka nenda rudi,je mamlaka husika wamewahi kutaka info zaidi toka kwako?
Nakupa kongole kwa msaada wako mkubwa ambao huwa unatoa kuhusiana na hili jambo na madudu yafanyikayo JNIA.
Mungu akubariki na akulinde.
 
Back
Top Bottom