Mkuu najua umeguswa sana na suala la wazenji kuchoma nyumba za biashara za watanganyika. Ila naona ni busara sasa kujiita watanganyika badala ya wabara kwani sisi sio wasio na kwao!! umenisoma mkuu?Nipo gym, ngoja waguse anga zangu hao wala ukwaju; vita ni vita muraa! Kama serikali haipo ama ipo likizo,basi wananchi tutakuwepo kwa niaba yao!
Hawa ni wauza mbao na maduka huku bara,waanze kufunga virago tartibu.
Hali sasa sio salama kwa mbara kuwa znz kwa sasa, take care wabara!
Jana kwenye taarifa ya habari ITV saa mbili usiku 8.5.2011 iliripotiwa kuwa watu wa bara(watanganyika) walichomewa vibanda vyao na Wazanzibar wakiwataka kurudi kwao na kusema hawautaki muungano kwa hali hii serikali imeendelea kukaa kimya je inasubiri watu wauane ndio ione kuna umuhimu wa kuujadili upya muungano huu maana siku moja wabara nao watajibu mapigo kwa wanzanzibar hawa wanaodai uhuru wa Zanzibar yao........wanajamii je huu si muda muafaka kuujadili muungano huu naomba sisi tuanzishe mjadala na serikali iige kutoka kwetu naomba kuwasilisha
Mh! Wanatupeleka kubaya hawa. hakuna haja ya kulipa kisasi, utoto unawasumbua, wakikua wataacha. Hata kama hawautaki Muungano sidhani kama hii ndio njiia muafaka yab kueleza hisia zao

Kwa kile kinachoonekana kama chuki dhidi ya watanganyika vijana wa kizanzibari wamechoa maduka huko unguja ya wafanyabiashara wenye asili ya bara na kusababisha hasara ya zaidi ya milioni 400.

Hawa wameuchoka muungano, hivi na sisi tukiamua kwenda hapo kariakoo itakuwaje?

Source: Radio TBC at 4PM

taarifa ya habari ITV

[video=youtube;_FXB48 HHeyQ]http://www.youtube.com/watch?v=_FXB48HHeyQ[/video]
Acha waumie si ndo wameanzisha. Unataka sisi tuumie tu kwa sababu tukililipiza kisasi wao wataumia zaidi. Hilo ndo lengo la kisasi "Kuumiza zaidi'Tusilipize kisasi jamani sababu tukilipiza wao ndio wataumia zaidi. Au tukate umeme tusikate?
WAZANZIBARI HAWATAKIII MUUNGANO NOOOOOOOO
HAMUJUI KISWAHILI NYIE AU VIZIWI HAMUSIKII!!!!
Jana kwenye taarifa ya habari ITV saa mbili usiku 8.5.2011 iliripotiwa kuwa watu wa bara(watanganyika) walichomewa vibanda vyao na Wazanzibar wakiwataka kurudi kwao na kusema hawautaki muungano kwa hali hii serikali imeendelea kukaa kimya je inasubiri watu wauane ndio ione kuna umuhimu wa kuujadili upya muungano huu maana siku moja wabara nao watajibu mapigo kwa wanzanzibar hawa wanaodai uhuru wa Zanzibar yao........wanajamii je huu si muda muafaka kuujadili muungano huu naomba sisi tuanzishe mjadala na serikali iige kutoka kwetu naomba kuwasilisha
Mbona Wazanzibari kila mara wanauwawa huko bara, mbona haijawa issue Mkuu?