Maduka ya simu Makumbusho stand (ni simu fake au original)?

fab280391

Senior Member
Jul 29, 2015
122
31
Zile simu ni fake au orignal? Maana unakuta ni bei rahisi kidogo. kuna mdau aliyewahi nunua kwenye yale maduka athibitishe?
 
Zinaweza kuwa OG mkuu sababu gharama za pale makumbusho kama kodi ya fremi ni ndogo kulinganisha na Kariakoo
 
kweli kbsaaaaa, wale jamaa cm zao bei n chee sana kulinganisha na sehem nying, nishawah nunua na ilikua OG,

Sent from my Iphone X using jamiiforum App, nili inunua jana pale karume karb na duka la Mapajama.
 
Ulinunua simu gani mkuu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom