Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,002
- 173,642
Hivi huwa tatizo ni nini kwenye ishu ya dawa? Kwamba serikali haina pesa ama ni vile sio kipaumbele?Siyo kwamba huruhusiwi kuandika.
Ila ukiandika Dawa ambazo hazipo store ya hospitali maana yake mgonjwa akanunue ndio utapata lawama kama hizi.
Kwahiyo, inadhauriwa Umwandikie mgonjwa Dawa zilizopo store ili kukwepa lawama kama hizi.
Maana serikali inaweza agiza Land Cruiser hata 700 za 150M mpaka 200M!
Hivi kwa billion 100 ni dawa kiasi gani zinaweza nunuliwa?
Yani mie nikipewa hii nchi naweza nikaiendesha kwa namna ya tofauti sana! Its high time matatizo madogo madogo yanatakiwa yaishe haya.