Maduka 95 ya FOREX yafungwa kwa kushindwa kuendana na masharti mapya ya BoT

Huelewi umuhimu wa hayo maduka ya Forex
Kwa mfano Arusha,Sanya bureau de change inafungua hadi saa moja usiku,halikadhalika Jumapili,je hayo mabenki unayosema yapo wazi hadi saa moja usiku,na Jumapili wanafungua?
Akili zako ni sawa na wanaodhani huu ni muda wa kuwa na chama kimoja cha siasa.
Tumia vizuri akili yako kufikiri sawasawa,sio kujenga chuki kwa kuwa wewe huna pesa ya kwenda bureau de change!!
Ungeweza kutoa maoni yako bila kutumia lugha ya maudhi, jifunze kuwa na adabu kwa wanaume wewe mama
 
kumbe hawa wanaobadilisha fedha hapa boda tunduma hawahusiki mbona wao naona afisi zao zipo wazi kabisa yani mda wote wanazunguka na maburungutu ya noti.
 
Halafu wale ndugu zetu wa forex wanakuita njoo huku kuna utajiri banks hawataki ujue, sasa na hawa nao wasijue.
 
Sijajua bado effect yake kwa uchumi!! Labda tuupe muda tuone!! Kila goti litapigwa!!
Tutajua zaidi agizo la kupiga marufuku matumizi ya pesa za kigeni kwa biashara za ndani ya nchi yetu likitiliwa mkazo. Walioficha hizo pesa majumbani waanze kuzisalimisha benki na wakitaka kuzitoa walazimishwe kutoa kwa thamani ya shilingi yetu na siyo watoe pesa za kigeni taslimu. Hapo shilingi yetu itapata nguvu na mzunguko wa pesa utaongezeka.
 
Mkuu lakini uchumi huria wa Soko hakuna kula I ishara! Wengi walioficha ni wa fanya biashara hasa wadosi huagiza vitu kwa pesa hizo wanaficha kwa Muda tu na uchumi ukikaa sawa wanazirudisha mzungukoni
Tutajua zaidi agizo la kupiga marufuku matumizi ya pesa za kigeni kwa biashara za ndani ya nchi yetu likitiliwa mkazo. Walioficha hizo pesa majumbani waanze kuzisalimisha benki na wakitaka kuzitoa walazimishwe kutoa kwa thamani ya shilingi yetu na siyo watoe pesa za kigeni taslimu. Hapo shilingi yetu itapata nguvu na mzunguko wa pesa utaongezeka.
 
Nani atakujua? Ni ngumu sana maskini kujulikana.
Mimi sio maskini,mbona nina akili timamu na viungo vyangu vyote?Kweli inaelekea kuwa wewe ni muuza ngada,maana umeshindwa hata kujua maana ya maskini .

Naombabutambue kwamba muuza ngada yeyote IQ yake ni ndogo sana,kwa kuwa kuuza ngada ni hatua ya mwisho ya kuokoa maisha yaliyo shindikana.Mtu mwenye akili hawezi kushindwa maisha mpaka afikie hatua ya kuuza ngada!Furthermore,an intelligent person can never take pride in material wealth which comes from the Devil, because he or she knows that is chasing the wind.Wewe usiyejua hili kwa kuwa IQ yako ni ndogo,ndiye unaye take pride in such wealth,which is chasing the wind.
Namshukuru Mungu sana kwa kuwa amenibariki hata bila kuuza ngada.
 
Tutajua zaidi agizo la kupiga marufuku matumizi ya pesa za kigeni kwa biashara za ndani ya nchi yetu likitiliwa mkazo. Walioficha hizo pesa majumbani waanze kuzisalimisha benki na wakitaka kuzitoa walazimishwe kutoa kwa thamani ya shilingi yetu na siyo watoe pesa za kigeni taslimu. Hapo shilingi yetu itapata nguvu na mzunguko wa pesa utaongezeka.
Shilingi yako itapanda thamani kama uchumi wako utaimarika. Period, hamna short cut wala uchawi hapo.
 
Mimi sio maskini,mbona nina akili timamu na viungo vyangu vyote?Kweli inaelekea kuwa wewe ni muuza ngada,maana hata uwezo wa kujua maana ya maskini huna.

Kumbuka pia kwamba muuza ngada yeyote IQ yake ni ndogo sana,kwa kuwa kuuza ngada ni hatua ya mwisho ya kuokoa maisha yaliyo shindikana.Mtu mwenye akili hawezi kushindwa maisha mpaka afikie hatua ya kuuza ngada!Furthermore,an intelligent person can never take pride in material wealth which comes from the Devil, because he or she knows that is chasing the wind.Wewe usiyejua hili kwa kuwa IQ yako ni ndogo,ndiye unaye take pride in such wealth,which is chasing the wind.

Hata hivyo namshukuru Mungu kwa kuwa amenibariki sana bila kuuza ngada.
Ndugu hujabarikiwa chochote. Baraka ya kwanza huwa ni kuwa na akili. Jiendeleze maana hata tofauti tu ya maskinibna mlemavu hufahamu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na ana hekima huwa hawezi kumhukumu mtu bila uthibitisho.
 
Mlemavu ni mtu aliyezaliwa na viungo vyenye kasoro mkuu. Kwa upande mwingine umaskini unajumuisha vyote,ile hali ya kuwa na viungo vyenye kasoro na pia hali ya kuwa na viungo vilivyopata kasoro kwa ajali nk.

Hata hivyo kama wewe si muuza ngada, hukuwa na sababu ya kuonyesha kwamba unawatetea,hawa ni watu waovu na wanaoharibu jamii yetu na tunapaswa wote kushirikiana kuonyesha kwamba hatupendi wanayoyafanya.

Pole sana mkuu kama nimekujeruhi,nachukia sana vitendo vya hawa watu.
 
Back
Top Bottom