Madudu ya Viongozi Yatapungua au Kwisha Kwa Katiba Mpya Kutoa Fursa ya Kuwaadabisha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madudu ya Viongozi Yatapungua au Kwisha Kwa Katiba Mpya Kutoa Fursa ya Kuwaadabisha!

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Gosbertgoodluck, Jan 12, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wandugu wanaJF,
  Katika eneo muhimu tunalopaswa kuangalia kwa umakini mkubwa kwenye mapitio ya katiba yetu, ni uadabishaji wa viongozi pamoja na rais mwenyewe wanaofanya madudu wakiwa kwenye hatamu. Katibu mpya lazima itoe fursa hiyo, kama ilivyo kwa wenzetu USA na nchi nyingine nyingi. Kwa kufanya hivyo, madudu ya viongozi yatapungua au kwisha kabisa.
   
 2. S

  Shiefl Senior Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yani wewe unabonyeza right buttons. DUMU Milele. Unaweka checks and balance za maana. Briefings za nchi wanapewa mpaka na kina waziri mkuu. mambo yanaenda. Sasa kama wewe unamwachili mkulu tu na yeye ana vibinti kibao wa kumpepea unategemea nini?:smile-big:
   
Loading...