Madudu ya naibu waziri TAMISEMI Joseph Kandege Jimboni kwake

Jul 29, 2018
5
5
kandege.JPG

Jipu la jimbo la kalambo lililoiva linapaswa kutumbuliwa,

Leo nitaeleza machache Huyu kiongozi bora anapaswa kuwa mwaminifu na mwadilifu mwenye kufuata sheria na utawara bora lakini huyu hana hata sifa mojawapo katika hizo.nitawaletea ushahidi wewe endelea kufatilia utaelewa leo nimekupa utangulizi,
IMG_20180728_154320.jpg

Hizi ni Barbara za jimboni kwake
IMG_20180728_154307.jpg

Barabara za jimboni kwa Joseph Kandege naibu waziri TAMISEMI .

History fupi ya Jimbo

Wilaya ya Kalambo
Kalambo ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Rukwa yenye postikodi namba 55400[1], ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012.[2]

Wilaya ya Kalambo

Wilaya ya Kalambo
Location in Tanzania
Viwianishi: 8°18′12″S 31°31′10″E / 8.30333°S 31.51944°E
Country
Tanzania
Region
Rukwa Region
Makao makuu ya wilaya yako Matai.

Mkuu wa wilaya wa kwanza alikuwa Moshi Chang’a. [3]

Wilaya limepokea jina kutoka mto Kalambo unaopita hapa hadi kuishia kweye Maporomoko ya Kalambo upande wa Zambia.

Idadi ya wakazi wa wilaya ilikuwa 207,700 wakati wa sensa ya mwaka 2012.

Pia wilaya ya Kalambo ina kata 23.

Itaendelea seku nyingine usikose.
 
View attachment 821782
Jipu la jimbo la kalambo lililoiva linapaswa kutumbuliwa,

Leo nitaeleza machache Huyu kiongozi bora anapaswa kuwa mwaminifu na mwadilifu mwenye kufuata sheria na utawara bora lakini huyu hana hata sifa mojawapo katika hizo.nitawaletea ushahidi wewe endelea kufatilia utaelewa leo nimekupa utangulizi,
View attachment 821783
Hizi ni Barbara za jimboni kwake
View attachment 821784
Barabara za jimboni kwa Joseph Kandege naibu waziri TAMISEMI .

History fupi ya Jimbo

Wilaya ya Kalambo
Kalambo ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Rukwa yenye postikodi namba 55400[1], ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012.[2]

Wilaya ya Kalambo

Wilaya ya Kalambo
Location in Tanzania
Viwianishi: 8°18′12″S 31°31′10″E / 8.30333°S 31.51944°E
Country
Tanzania
Region
Rukwa Region
Makao makuu ya wilaya yako Matai.

Mkuu wa wilaya wa kwanza alikuwa Moshi Chang’a. [3]

Wilaya limepokea jina kutoka mto Kalambo unaopita hapa hadi kuishia kweye Maporomoko ya Kalambo upande wa Zambia.

Idadi ya wakazi wa wilaya ilikuwa 207,700 wakati wa sensa ya mwaka 2012.

Pia wilaya ya Kalambo ina kata 23.

Itaendelea seku nyingine usikose.
Una miaka mingapi mkuu?
 
Back
Top Bottom