Madudu ya Mhandisi Deusdedit Kakoko bandarini

Pole sanaa mkuu huu uzi umeuandika kwa kasi sanaa nahisi kama umepoteza kibarua ivi ! Au boss ameangusha kiota chako cha kuowekea mayai
 
Aliyemtoa kule Tanroads watakua wanajuana vzr/wana historia wale.

Kwa wale usalama wote waliojazwa pale Bandarini unadhani atakua hizo deal anazipiga peke yake?

Don't touch the dial.
 
Aina ya utendaji wake, unaweza ukaondoa picha na jina lake, ukaweka ya Magufuli bila ya kubadili maelezo. Ni wale wale.
 
Nuru Mhando na meneja matumizi lililoibuliwa na Mh. Waziri mkuu siku za hivi karibuni.( amewatoa kafara tu , mhusika mkuu ni yeye)

Nani amewatoa kafara wenzake, yeye CEO Kakoko?

Au PM Majaliwa ambae ndie amewasimamisha kazi DAF Mhando na ME Mahela?

Au CAG Kichere ambae ndie ripoti yake imetumika kutumbua?
 
Bila ushahidi ni majungu tu. Umeandika kwa kusukumwa na chuk bila shaka. Ungekuwa na facts, ungemwaga hapo. Acha majungu mdada/mkaka
Hata kama kaandika kimajungu na chuki lakini point yake ya mwisho kuhusu kufanyiwa uchunguzi ni jambo la msingi kabisa. Uchunguzi utatoa majibu.
Au hupendi achunguzwe mzee?
 
asante kwa taarifa, ila how can we authenticate it and validate it!? if its true!.. tunalifanyia kazi.

Fanya uchunguzi,fanya sampling ya wafanyakazi wa 5 -10 wa ngazi za juu mpaka chini wafanyie interview utajua. Mambo yapo wazi sana mpaka wafagiaji wanajua
 
Bila ushahidi ni majungu tu. Umeandika kwa kusukumwa na chuk bila shaka. Ungekuwa na facts, ungemwaga hapo. Acha majungu mdada/mkaka

Haya si majungu, ni kweli nimeandika kwa kusukumwa na chuki kulingana na uhalisia wa mambo yanavyoenda ..facts zipo nyingi fuatilia
 
Ili utusaidie nasi tuweze kujaji, quantify empirically:

1) mazuri aliyofanya
2) mabaya aliyoyafanya
3) net effect
 
Apandishwe cheo huyu kama wakuu wa idara unawapa maelekezo hawakujibu kwa wakati kisha mimi nawapigia simu watumishi husika nawapa maagizo na kazi inafanyika utasemaje nimefitinisha mabosi na watumishi wa ngazi za chini?

Kila mtu anamapungufu yake ila kama ni machache kuliko faida lazima tumwache .... huwezi kumtumbua lets say waziri kwa ubadhirifu wa million 40 tunafunika kombe tu kulingana na nyanzifa lakini daktari wa mkoa na wakuu wa mashule milion 40 inakutoa hata na hivyo na wao pia hawawezi kutumbuliwa kwa ubadhirifu wa million 3 yaani aliletewa 400m kufanyia kazi mwisho wa siku 3M matumizi yake hayaonekani vizuri kwingine kuko sawa... Utaelewa badae ukiwa mkubwaa
 
Back
Top Bottom