Madudu ya Mama Abdallah

dah,,yan nchi hii,hakuna kwenye unafuu hata kidogo?wameishi dunia yao wameimaliza na sasa wanaingilia dunia yetu na kuimaliza,wanataka vizazi vyetu sisi vije viishije??dah..
tafakari...chukua hatua
 
Mheshimiwa Spika, kwa kukazia hoja ya Kiongoziwa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, naomba nitoe mfano wa Bodi ya Korosho jinsi inavyowanyonya wakulima wa Korosho katikaMikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma kwa kujilipa posho nyingi na marupurupumengine huku wakiwaacha wakulima wa korosho wakiteseka na kuhangaika huku nahuko kama kondoo wasio na mchungaji bila kutatua matatizo yao.

Mheshimiwa Spika, kwa kikao cha siku mojakilichofanyika tarehe 29/11/2011 wajumbe wa bodi hiyo walilipwa posho kamaifuatavyo:

1. Mh. J. Bwanausi – Mjumbe wa Bodi: Huyu alilipwa jumla ya shilingi 1,550,000/=, ikiwa shilingi 750,000/=ni posho ya kawaida (Per diem) na shilingi 800,000 ni “working session” kamailivyoandikwa kwenye fomu ya malipo.

2. Mh. Anna M. Abdallah – M/Kiti wa Bodi ya Wakurugenzi: Huyu alilipwa jumla yashilingi 1,800,000/= kwa mchanganuoufuatao: Posho ya kikao shilingi 500,000/=, Usafiri shilingi 300,000/= Posho yakawaida (Per diem) shilingi 900,000/= na Usafiri Dar es Salaam shilingi100,000/=

3. Mh. Jerome Bwanausi – Mjumbe wa Bodi yaWakurugenzi: Huyu alilipwa kwa mara nyingine tena kwenye kikaohicho hicho jumla ya shilingi 1,550,000/=ikiwa posho ya kikao ni shilingi 400,000/=, Usafiri wa Ndege shilingi300,000/=, Posho ya kawaida(Per diem) shilingi 750,000/= na Usafiri Dar esSalaam shilingi 100,000/=
4. Mh. Mudhihir M. Mudhihir – Mjumbe wa Bodi yaWakurugenzi: Huyu alilipwa jumla ya shilingi 1,550,000/= ikiwa posho yakikao ni sh. 400,000/=, Usafiri wa Ndege sh. 300,000/= Posho ya Kawaida(Perdiem) sh. 750,000/=, Usafiri Dar es Salaam sh. 100,000/=
5. Mrs. Mudhihir M. Mudhihir – Mke wa Mh. MudhihirM. Mudhihir: Huyu alilipwa jumla ya shilingi 875,000/= kwa mchanganuo ufuatao: Posho ya kikao sh. 200,000/=,Usafiri sh. 300,000/= Posho ya kawaida (Per diem) sh. 375,00/=
Mheshimiwa Spika, Jumla ya fedha zotezilizolipwa katika kikao hiki cha wakurugenzi wa Bodi ya Korosho cha tarehe29/11/2011 ni shilingi 7,325,000/= Mheshimiwa Spika, Licha ya matumizi ya fedhahizi kuwa hayana tija kwa kuwa matatizoya wakulima wa korosho hayajapatiwaufumbuzihadi sasa, utaratibu walioutumia wajumbe hawa kujipatia fedha hizi una daliliza kifisadi ndani yake. Hii ni kwa sababu mke wa Mh. Mudhihir M.Mudhihir ambayesi mjumbe wa kikao aliingia kwenye kikao na kulipwa posho. Utaratibu uliotumikakumlipa mke wa Mudhihir haueleweki na hata viwango vilivyotumika kukokotoamalipo yake pia havifahamiki.Mheshimiwa Spika, dalili ya ufisadi mwinginekatika bodi hii, ni kwa Mjumbe wa bodi Mh. Jerome Bwanausi kulipwa posho hiyomara mbili. Katika fomu za malipo kwa Mh. Bwanausi, fomu moja ameandika jinalake kwa kifupi yaani J. Bwanausi na tarehe ya kuchukua fedha ameandika nitarehe 28/11/2011 wakati katika fomu ya pili ya malipo ameandika jina kamiliyaani Jerome Bwanausi na tarehe ya kuchukua fedha kaandika 29/11/2011.Mheshimiwa Spika, mazingira kama hayo, yanaibua hisia kuwa Mh.Bwanausi alijipatia fedha hizo kwa njia ya udanganyifu na hivyo kuwaaminishawatu kuwa alitumia nafasi yake kama mjumbe wa bodi ya korosho kufisidi fedha za wakulima wanyonge wakorosho.
 
Kichefuchefu sana mambo kama haya. Huyu mke wa Mudhihir kwanini jamani analipwa lakini?? wanachuna hadi ngozi watu walafi hawa. Na huyu Anna Abdallah aondolewe kwenye bodi hii kunusuru mamlaka ya korosho na wavuja jasho wa kusini.
 
Hii ni kali ya mwaka na nafikiri nchi hii imelaaniwa! Leo Mudhihir anapewa preferential treatment kwa sababu ya ulemavu wake wakati kuna watu wengi wenye hali kama yake na hawatendewi hivyo? Hivi mke wa Erio wa PPF au mke wa Kaaya wa AICC nao wanapewa huduma hii. Hakuna jina lingine la kuita kitendo hiki zaidi ya kwamba huu ni wizi na uitwe hivyo bila kupepesa macho!

Ikumbukwe Mudhihir alipata ajali 2008 na aliendelea kutumikia bunge mpaka 2010. Kwa nini bunge halikuwa likimlipa kiasi hicho mke wake katika wakati wa utumishi wake? Maskini nchi yangu Tanzania.
 
Kichefuchefu sana mambo kama haya. Huyu mke wa Mudhihir kwanini jamani analipwa lakini?? wanachuna hadi ngozi watu walafi hawa. Na huyu Anna Abdallah aondolewe kwenye bodi hii kunusuru mamlaka ya korosho na wavuja jasho wa kusini.

tell me about it!!
 
Huyu mama na washirika wake wanaofilisi hii bodi wanastahili kunyongwa

kama kuna mbunge yeyote humu ndani anayekerwa na jambo hili,, hebu aliibue bungeni tupate ufafanuzi kwanini ufisadi huu ndani ya bodi ya korosho unafumbiwa macho. Pia kwanini mke wa Mudhihir alipwe posho kwenye bodi hii? Mnyika? Jembe letu uko wapi?
 
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee's.................................POWER!!
 
Anna abdala Ndio chanzo cha migogoro ya korosho kule kusini. Mimi namfahamu vizuri. Kwa hiari hake ajiuzulu kabla hajaumbuka humu jf. Nampa Siku 7 tu.
Mkuu nilikuwa nakukumbushia tu kwamba siku 7 ulizompa huyu Mama zimepita. Au unamuongezea dozi nyingine ya siku 7? Ili zitimie 7 kutwa mara 3?
 
Ndo tafsiri ya ccm hio, chukua chako mapema, Dawa yake ni kuipiga chini ccm, tutaheshimiana na heshima itarudi
 
Back
Top Bottom