Madudu ya Mama Abdallah

Wabunge mliomo humu, tafadhali lifanyieni kazi jambo hili ili JF iwe chachu ya kukomesha ulafi wa namna hii

ni mlafi mpaka anaizinisha mke wa mjumbe wa bodi naye alipwe posho huku alitetea kupewa posho hiyo.Je ni wake wangapi na madereva wangapi wanpewa posho za vikao vya bodi?pia ni bodi ambayo imegubikwa na matatizo kibao.Ukimuona wakati wa kuchangia michango bungeni, wakati akitetea ccm utafikiri ni wa maana .kumbe bure kabisa
 
Anna abdala Ndio chanzo cha migogoro ya korosho kule kusini. Mimi namfahamu vizuri. Kwa hiari hake ajiuzulu kabla hajaumbuka humu jf. Nampa Siku 7 tu.
 
ni mlafi mpaka anaizinisha mke wa mjumbe wa bodi naye alipwe posho huku alitetea kupewa posho hiyo.Je ni wake wangapi na madereva wangapi wanpewa posho za vikao vya bodi?pia ni bodi ambayo imegubikwa na matatizo kibao.Ukimuona wakati wa kuchangia michango bungeni, wakati akitetea ccm utafikiri ni wa maana .kumbe bure kabisa
I am convinced that these kind of people are the sources of country downfall. Lets get rid of them
 
kwanini hizi nafasi za bodi huwa wanapeana wazee tu? kwani vijana hawana uwezo? mtu akistaafu anapewa sasa maana yake nini hii kitu?
 
Muda mfupi baada ya kuupata uenyekiti, baadhi ya nyumba za bodi ya korosho zilizopo Osterbay DSM zimeuzwa katika mazingira ya kutatanisha na pesa za mauzo bado hazieleweki zimechukuliwa na nani.

Matatizo ya bodi ya korosho yalianzishwa na Mkapa wakati anagombea nafasi ya urasi, fixed deposit account ya bodi kenye benki ya CRDB ilikuwa na shilingi bilioni mbili mwaka 1995, Mkapa akisaidiwa na Kitwana Kondo wakati huo akiwa ndiye mwenyekiti wa bodi, walihamisha fedha yote na ndizo zilikuwa mtaji wa kwanza wa Mkapa kuwania nafasi ya urasi, kuanzia kipindi hicho bodi ya korosho ilianza kuyumba hadi sasa kila anayeteuliwa kuongoza bodi shughuli yake ni wizi badala ya kuwasaidia wakulima wa korosho.
 
Mimi ni MLEMAVU, tangia kesho nitaanza kuja na MKE wangu kazini kama msaidizi ili naye awe analipwa mshahara na SERIKALI kama msaidizi wangu.

Mh. Mtunga Sheria Mama Anna Abdulllah amenifumbua macho nilikuwa sifahamu kuhusu utaratibu huu. WALEMAVU WOTE NCHI hii tuanze kwenda na WAKE/WAUME/NDUGU zetu makazini kama wasaidizi wetu, kwasababu ni sheria na watalipwa kama wasaidizi.
 
Muda mfupi baada ya kuupata uenyekiti, baadhi ya nyumba za bodi ya korosho zilizopo Osterbay DSM zimeuzwa katika mazingira ya kutatanisha na pesa za mauzo bado hazieleweki zimechukuliwa na nani.

Matatizo ya bodi ya korosho yalianzishwa na Mkapa wakati anagombea nafasi ya urasi, fixed deposit account ya bodi kenye benki ya CRDB ilikuwa na shilingi bilioni mbili mwaka 1995, Mkapa akisaidiwa na Kitwana Kondo wakati huo akiwa ndiye mwenyekiti wa bodi, walihamisha fedha yote na ndizo zilikuwa mtaji wa kwanza wa Mkapa kuwania nafasi ya urasi, kuanzia kipindi hicho bodi ya korosho ilianza kuyumba hadi sasa kila anayeteuliwa kuongoza bodi shughuli yake ni wizi badala ya kuwasaidia wakulima wa korosho.
Hivi kwanini huyu Mama anawafanya watu wengine wajinga? hizi nyumba huenda wameuziana kwa bei chee kabisa yeye na wenzake halafu bila aibu wanapiga makelele bungeni kujifanya wanawatetea wananchi! Nina hasira sana
 
Muondoeni kwa sheria iliyozuiya wabunge kuingia kwenye bodi za mashirika ya umma. Hebu mutumieni mbunge mmoja wapo atuisaidie kuondoa uchafu huu.
Hii sheria unayoongelea mzazi inatekelezwa? je ni kweli kwamba wabunge hawapaswi kuingia kwenye hizi bodi za mashirika ya umma?
 
Mume wa kwanza? sidhani kama aliolewa na Kawawa. Ila kuna ukweli kwamba laiwagonganosha wazee wetu hawa wawili

kiasi awagonganishe mana enzi za ujana wake alikuwa mrembo sana na inasemekana alishawahi kuwa miss mtwara kipindi hicho
 
Muulizeni wasukumu wa Magu walivyomfanya hadi akaukimbia U-DC wa Magu!

Kila asubuhi akiamuka anajikuta nje huku sehemu za siri zikiwa zimechafuliwa.
 
Muulizeni wasukumu wa Magu walivyomfanya hadi akaukimbia U-DC wa Magu!

Kila asubuhi akiamuka anajikuta nje huku sehemu za siri zikiwa zimechafuliwa.
mukulu unamwongelea huyu Anna Abdallah? Aliwahi kuwa DC Magu? walimfanya nini? je ilikuwa kwa sababu ya tabia hii hii ya ulafi uliopitiliza??
 
mukulu unamwongelea huyu Anna Abdallah? Aliwahi kuwa DC Magu? walimfanya nini? je ilikuwa kwa sababu ya tabia hii hii ya ulafi uliopitiliza??

Ndiyo huyu huyu Anna Abdallah. Yalikuwa mambo ya USHIRIKINA, yalikuwa hayahusiani na UFISADI kwani zilikuwa ni enzi za Mwalimu ambapo viongozi wetu walikuwa na maadili mazuri.

Nafikiri kutokana na uzuri wake basi WASUKUMU wakawa wanataka "kuonja" kwa njia zisizo rasmi (read ushirikina), bahati nzuri enzi hizo UKIMWI haukuwepo. ikamubidi mama wa watu akimbie Magu!
 
Back
Top Bottom