Madudu ya Mama Abdallah

Salimia

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
665
103
Kwanza kabisa nalipongeza sana Bunge letu tukufu kwa kufichua maovu ya mama Anna Abdallah mlafi aliyepitiliza. Mmama huyu tangu aingie kwenye bodi ya korosho, sifa kuu aliyonayo ni kula zaidi kuliko hata Kitwana Kondo.

Ana urafiki wa ajabu sana na huyu Bwana Mudhihiri uliopelekea Anna Abdallah kulipwa posho inayotushangaza hata sisi wafanyikazi .

Ulaji huu umeanza mara baada tu ya serikali kuruhusu (CEL) yaani fedha za mapato ziingie kwenye bodi. Pesa hizi ni Billion 2 ambazo wanazila kwa kuwa na vikao vingi mno kupita kiasi. Hapa mchezo uliopo ni kwamba kila tani 1 ya korosho inayosafirishwa nje, 2% ya mapato hayo ndiyo huletwa kwenye bodi.

Tangu aliyekuwa meneja wa cashew-nut Authority of Tanzania Mr. Mhagama afariki mama huyu Anna Abdallah sasa ana nguvu kama mtendaji.

Ewe Rasi wetu mpendwa J.K Kikwete, chonde chonde, nusuru zao hili na fedha hizi za umma kwa kumteua rasmi mkurugenzi mpya na ikiwezekana huyu mama arudi Nanyumbu akafanye kampeni za UWT maana anakula kupita kiasi, yaani bila hata kunawa!!

Kuona kupapasa.
 
Kwanza kabisa nalipongeza sana Bunge letu tukufu kwa kufichua maovu ya mama huyu mlafi aliyepitiliza. Mmama huyu tangu aingie kwenye bodi ya korosho, sifa kuu aliyonayo ni kula zaidi kuliko hata Kitwana Kondo. Ana urafiki wa ajabu sana na huyu Bwana Mudhihiri uliopelekea Anna kulipwa posho inayotushangaza hata sisi wafanyikazi . Ulaji huu umeanza mara baada tu ya serikali kuruhusu (CEL) yaani fedha za mapato ziingie kwenye bodi. Pesa hizi ni Billion 2 ambazo wanazila kwa kuwa na vikao vingi mno kupita kiasi. Hapa mchezo uliopo ni kwamba kila tani 1 ya korosho inayosafirishwa nje, 2% ya mapato hayo ndiyo huletwa kwenye bodi.
Tangu aliyekuwa meneja wa cashew-nut Authority of Tanzania Mr. Mhagama afariki mama huyu Anna Abdallah sasa ana nguvu kama mtendaji.
Ewe Rasi wetu mpendwa J.K Kikwete, chhonde chonde, nusuru zao hili na fedha hizi za umma kwa kumteua rasmi mkurugenzi mpya na ikiwezekana huyu mama arudi Nanyumbu akafanye kampeni za UWT maana anakula kupita kiasi, yaani bila hata kunawa!!

.......Kuona kupapasa............

Ameamua kula hata mbegu za msimu ujao sasa sijui atapanda nini msimu ukianza!!!!
 
Muondoeni kwa sheria iliyozuiya wabunge kuingia kwenye bodi za mashirika ya umma. Hebu mutumieni mbunge mmoja wapo atuisaidie kuondoa uchafu huu.
 
Tutajua mengi ingawa tulikuwa wapi kuyaanika haya muda wote huu?
 
Tutajua mengi ingawa tulikuwa wapi kuyaanika haya muda wote huu?

Mukulu,saaa ya ukombozi ni sasa,, ukijua kitu na ukawa na uhakika nacho ni vyema kukileta ili wananchi wajue na ikiwezekana kifanyiwe kazi. Huyu Anna Abdallah lazima aondolewe kwenye hii bodi. Na huyu Mudhihir kwa nini mke wake analipwa posho eti kwa sababu yey ni mlemavu na kwamba kisingizio ni kuwa mkewe anamsaidia?? Mbona tangu alipopata ajali na kukatika mkono akiwa mbunge mkewe alikuwa halipwi posho? Iweje leo iwe kwenye bodi hii tu ya korosho kama si kutaka kupeana ulaji tu? Hivi kweli tujiulize,, kuna viongozi wangapi ambao ni walemavu,, je nao walipwe posho pia?? Hili naomba lifanyiwe kazi mara moja, Hawa watu ni walafi sana
 
Wabunge mliomo humu, tafadhali lifanyieni kazi jambo hili ili JF iwe chachu ya kukomesha ulafi wa namna hii
 
Mukulu,saaa ya ukombozi ni sasa,, ukijua kitu na ukawa na uhakika nacho ni vyema kukileta ili wananchi wajue na ikiwezekana kifanyiwe kazi. Huyu Anna Abdallah lazima aondolewe kwenye hii bodi. Na huyu Mudhihir kwa nini mke wake analipwa posho eti kwa sababu yey ni mlemavu na kwamba kisingizio ni kuwa mkewe anamsaidia?? Mbona tangu alipopata ajali na kukatika mkono akiwa mbunge mkewe alikuwa halipwi posho? Iweje leo iwe kwenye bodi hii tu ya korosho kama si kutaka kupeana ulaji tu? Hivi kweli tujiulize,, kuna viongozi wangapi ambao ni walemavu,, je nao walipwe posho pia?? Hili naomba lifanyiwe kazi mara moja, Hawa watu ni walafi sana
Una maana mke wa MUDHIHIR analipwa japo si board member? wanalipwa kiasi gani? hii si haki
 
Hii Nchi kweli ni shamba la Bibi, mbona bodi zote ni madudu tu. Ndipo utakapoona ukweli wa usemi wa mh. J. Mnyika (mb) kuhusu hii Serikali.
 
ukiona mstaafu au mbunge anateuliwa awe mwenyekiti wa kampuni ya umma

ujue kawekwa hapo ili ale.....na si vinginevyo

wewe tu ndo hujui
Very true! But kwanini tuendelee kukaa kimya tu? Tuanze na hawa wanaojulikana tayari kwamba ni walaji ili watoke,, hatuwezi kuwanyamazia tu. Huyu mama Anna Abdallah has been in this country's politics for years ni vyema apumzike tu anyways. Hana jipya kabisa zaidi ya kuchumia tumbo kwa sasa
 
amewekwa hapo ili apumzike
na kupumzika ndo kula kwenyewe lol
 
mtalia weeeeeeee lakini msipoamua kuanzisha M4c bureeeee
hao wanapeana chakula usifikiri huyo jk hajuiiiiiii
 
Mama Anna kula tena jitahidi kufagia kila kitu kabla ya 2015 maana hatuna uhakika kama tutarudi madarakani. Hao wanaopiga kelele we waache tu hawajui wewe umetoka mbali na nchi hii? toka enzi zileee za Mumeo wa kwanza, mpaka sasa upo na Mzee Pius? KULA MAMA wasikubabaishe!
 
Mume wa kwanza? sidhani kama aliolewa na Kawawa. Ila kuna ukweli kwamba laiwagonganosha wazee wetu hawa wawili
 
Back
Top Bottom