Madudu ya askofu mdegela yazidi kujulikana

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
Askofu Mdegela ambaye amekuwa akilalamikiwa na makundi mbalimbali ya watu kuwa ni MZINZI na MBADHIRIFU WA MALI ZA KANISA ameanza kuumbuka baada ya kubainika KULAZIMISHA mtoto wake wa kumzaa awepo kwenye payroll ya chuo cha tumaini na kupata Mshahara ilhali kijana huyo sio Mwajiriwa wa chuo hicho. Salary slip ya kijana huyo imekamatwa ikionyesha kuwa anapata mshahara wa zaidi ya shilingi 1.2 Milioni.
 

Attachments

  • mdegela 1.JPG
    mdegela 1.JPG
    658.6 KB · Views: 148
  • MDEGELA.JPG
    MDEGELA.JPG
    271.6 KB · Views: 103
maaskofu wengi ni dizaini hiyo tusubiri wadakwe na wengine
 
Back
Top Bottom