Wizara hii imekuwa ikiwatukana matusi mazito watanzania wa kipato cha chini kwa kujidai inapima viwanja alafu inaviuza mamilioni ya fedha.
Garama za upimaji haziendani na mamilioni ya fedha viwanja hivyo vinapounza kupima eneo lolote ni kwa futi ama gps nashangaa wanauza maeneo hayo kwa meter2 elfu 80.huu ni uwizi mkubwa kwa wananchi masikini na tunashangaa uzalendo wa mama Anna Tibaijuka uko wapi? unapouza eneo la 50* 50 milioni tano tena nje ya jiji kama bagamoyo ambalo ni eneo linalotosha kajumba kadogo tu,vipi kwa mwalimu anayelipwa laki 2 au vipi kwa afisa anayelipwa laki 7?je atakaa aweze kukusanya kufika hiyo mil5.huku ni kuwatukana wananchi na kuwafanya wajione watumwa ndani ya nchi huru.