Madudu wizara ya ardhi

tpmazembe

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
2,470
1,225
Wizara hii imekuwa ikiwatukana matusi mazito watanzania wa kipato cha chini kwa kujidai inapima viwanja alafu inaviuza mamilioni ya fedha.

Garama za upimaji haziendani na mamilioni ya fedha viwanja hivyo vinapounza kupima eneo lolote ni kwa futi ama gps nashangaa wanauza maeneo hayo kwa meter2 elfu 80.huu ni uwizi mkubwa kwa wananchi masikini na tunashangaa uzalendo wa mama Anna Tibaijuka uko wapi? unapouza eneo la 50* 50 milioni tano tena nje ya jiji kama bagamoyo ambalo ni eneo linalotosha kajumba kadogo tu,vipi kwa mwalimu anayelipwa laki 2 au vipi kwa afisa anayelipwa laki 7?je atakaa aweze kukusanya kufika hiyo mil5.huku ni kuwatukana wananchi na kuwafanya wajione watumwa ndani ya nchi huru.
 
sifongo

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
4,865
2,000
Hiyo ndio tafsiri yao ya Maisha bora kwa kila Mtanzania.......japo mi nadhani nia yao ilikuwa ni MAISHA BORA KWA KILA FISADI.
 
tpmazembe

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
2,470
1,225
Kupima ardhi ni garama ndogo sana na kuna njia nyingi sana za kupima,kitendo cha kuchukua vipoint kwa gps kusisababishe kifike mamilioni ya mamilioni.idara ya mipango miji na vijiji ifanye kazi yake mpaka ngazi ya kata na yajulikane yapi makazi ya watu na yapi sio sioni sababu ya kuplan na kugawanya viwanja iwe mamilioni ya pesa.
 
Kajunjumele BA

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
673
195
Wizara hii imekuwa ikiwatukana matusi mazito watanzania wa kipato cha chini kwa kujidai inapima viwanja alafu inaviuza mamilioni ya fedha.

Garama za upimaji haziendani na mamilioni ya fedha viwanja hivyo vinapounza kupima eneo lolote ni kwa futi ama gps nashangaa wanauza maeneo hayo kwa meter2 elfu 80.huu ni uwizi mkubwa kwa wananchi masikini na tunashangaa uzalendo wa mama Anna Tibaijuka uko wapi? unapouza eneo la 50* 50 milioni tano tena nje ya jiji kama bagamoyo ambalo ni eneo linalotosha kajumba kadogo tu,vipi kwa mwalimu anayelipwa laki 2 au vipi kwa afisa anayelipwa laki 7?je atakaa aweze kukusanya kufika hiyo mil5.huku ni kuwatukana wananchi na kuwafanya wajione watumwa ndani ya nchi huru.

Ndugu yangu ukistaajabu ya shetani huja yaona ya CCM....hapo mwisho wa mchezo kamuulize yule mwenye shamba amefidiwa kiasi gani mbona unaweza kupasuka kwa hasira....utakuta mtu kafidiwa square metre 1 kwa sh 800 au kwa aibu sana tena na malumbano 2000.
 
Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,181
2,000
Alafu utashangaa wasanii kinana na nape hawajaona utendaji mbovu wa huyu mama...
 
tpmazembe

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
2,470
1,225
Umakini wa wanaomshauri huyu mama unanipa tabu sana na kunihuzunisha.wakati dunia ikibuni technologia za uhakika na bure kama qgis bado kwetu hali inazidi kuwa ngumu.KAMA TUTAENDA HIVI SIJUI KAMA TUTAFIKA.ardhi hii itakuwa chini ya matajiri wachache na wananchi walio wengi watakuwa wapangaji.
 
tpmazembe

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
2,470
1,225
Na kama ndio njia serikali inabuni ili kupata pesa, ikimaliza kupima ardhi ya nchi nzima itapima nini tena ili ipate pesa?kama haijali watu badala yake kukusanya fedha tusishangae kusikia ndoa za jinsia moja ruksa kiserikali na zilipewe laki kila mwaka ili tu wapate mapato
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom