Madudu uchaguzi TFF: Wagombea nafasi ya urais wamekosa wadhamini

Madudu uchaguzi TFF: Wagombea nafasi ya urais wamekosa wadhamini​

Baadhi ya wagombea kukosa wadhamini sio madudu katika uchaguzi. Hata mahakamani, mtuhumiwa anapotafuta wadhamini, hudhaminiwa na wale watu wake wa karibu ambao wana imani naye (mtuhumiwa), vinginevyo kama hawana imani naye hakuna atakayemdhamini maana anaweza akatoroka kesi wadhamini wakabaki kuingia matatani. Vivyo hivyo, kwenye uchaguzi huu wa TFF, wajumbe wanamdhamini yule tu waliye na imani naye, sio mtu yeyote tu aliyechukua fomu, maana kumdhamini mtu ni kujifunga kisheria kwamba upo tayari kutoa taarifa zake pale zitakapotafutwa
 
Hili halishangazi, TFF bado wanatumia kitabu ( play book) cha awamu ya 5!
Karia atakuwa Rais wa kwanza wa TFF kusabibisha maafa!

Mark my words!
Maafa kisa Nini kwa mfano, mje mjaribu kuleta uhuni ,nadhan ukilema mnataka kuutafuta kinguvu .
Rejea wazee wa uamsho miaka 7 na wana bahat wametoka kwa huruma ya mama maana naona walitaka kuchochea vita ,Sasa nasemaje uje ujaribu kuleta maafa pale tff ndio utajua hujui.

Karia ana ubaya gani had achukiwe kiasi hicho Tena na wana yanga tu .Club zote wanamwelewa kasoro nyie wana yanga ,ivi nyie ni kina nan hapa nchini ,mnadhan mnaweza kutisha watu kirahis ivo na mkachekewa?
Kama wewe ni mwanaume nenda hata saiz pale tff kalete hayo maafa sio unajificha jf unaandika uharo wako hapa.
 
Kwani hicho kifungu kinasemaje?
Mkuu Mpinzire na mimi niliuliza hili swala kuna member alianzisha Uzi ila sikujibiwa
Kuna mtu alishatabiri hapa kuwa huo mtindo wa kanuni zao lazima wagombea wakose wadhamanini.

Eti kila mgombea apate sahihihi za wadhamini kadhaa kwenye mikoa mitano alafu mgombea mwingine haruhusiwi kupata sahihi za wadhamini katika hiyo mikoa ya mwenzake hivyo inamlazimu atafute mikoa yake mingine 5 ambayo hukuna mgombea yoyote aliyechukua mdhamini hapo 🤣🤣🤣
Asante ndugu Mchambuzi kumbe ndio kanuni inasema hivyo?? Na sio kwamba ni lazima upate wagombea watano kila mkoa?
 
Wagombea nafasi ya Urais Shirikisho la soka Nchini TFF wamekosa wadhamini.

Ni mgombea mmoja tu ambae amepata wadhamini ambaye ni Rais aliyemaliza muda wake Ndg Karia.

Kwa tafsiri hiyo nafasi ya Urais itakua na Mgombea Mmoja tu ambae ni Wallace Karia
Nchi yetu inahitaji ukombozi kimpira. Tumekubali kuongozwa na Msomali wa Mogadishu.
Anatupeleka anavyotaka.
 
Maafa kisa Nini kwa mfano, mje mjaribu kuleta uhuni ,nadhan ukilema mnataka kuutafuta kinguvu .
Rejea wazee wa uamsho miaka 7 na wana bahat wametoka kwa huruma ya mama maana naona walitaka kuchochea vita ,Sasa nasemaje uje ujaribu kuleta maafa pale tff ndio utajua hujui.

Karia ana ubaya gani had achukiwe kiasi hicho Tena na wana yanga tu .Club zote wanamwelewa kasoro nyie wana yanga ,ivi nyie ni kina nan hapa nchini ,mnadhan mnaweza kutisha watu kirahis ivo na mkachekewa?
Kama wewe ni mwanaume nenda hata saiz pale tff kalete hayo maafa sio unajificha jf unaandika uharo wako hapa.
Mkuu mbona napovu yamekutoka
Hivo au karia na mgambo WA jiji
N ndugu zako
 
Kuna mtu alishatabiri hapa kuwa huo mtindo wa kanuni zao lazima wagombea wakose wadhamanini.

Eti kila mgombea apate sahihihi za wadhamini kadhaa kwenye mikoa mitano alafu mgombea mwingine haruhusiwi kupata sahihi za wadhamini katika hiyo mikoa ya mwenzake hivyo inamlazimu atafute mikoa yake mingine 5 ambayo hukuna mgombea yoyote aliyechukua mdhamini hapo
Sasa kama ni hivyo mbona mikoa ipo 26 na inahitajika mikoa mitano,inakuwaje wengine wakose wakati Karia kachukua mikoa 5 tu?
 
"Mtanzania"
Hili neno lina maana pana sana mkuu.
Rejea maana halisi ya Mtanzania, utaacha kuwabagua watu ambao unahisi si watanzania haswa.
Mkuu, huyo Karia ni Msomali halina ubishi. Kuna mtu mkubwa anamlinda na kumtumia Msomali kwa manufaa yake.
 
Hiyo style yao inajulikana miaka yote, ni mbinu tu ya kihuni iliyotungiwa kanuni ili kuwaondoa wagombea kijanja, hakuna sababu kutafuta wadhamini mikoa yote Tz, huo sio uchaguzi mkuu wa serikali.
 
Sasa kama ni hivyo mbona mikoa ipo 26 na inahitajika mikoa mitano,inakuwaje wengine wakose wakati Karia kachukua mikoa 5 tu?
Kimsingi hawajakosa wajumbe wakuwadhamini, issue ni kwamba wamekosa pesa za kuwahonga hao wajumbe ili wawashamini na hao wajumbe wameahajua hilo ndio chaka lao lakuvuna sasa wana tabia ya kumuangalia mgombea mzito ndio wanamdhamini, inshort wanaringa coz wanajua bila kupata udhamini wao huendi kokote utaenguliwa tu.
 
Back
Top Bottom