Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,427
Elimu yetu haituwezeshi kujiajiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama mlisikia nini kilifanyika?Tulisikia.
View attachment 96552View attachment 96553
naomba niwaongezee kitabu kingine hicho, picha haionekani vizuri ila mji mkuu wa Tanzania wameandika Nairobi badala ya Dodoma
Vitabu vinavyotumika Sekondari; ni vile vya Mh.Nyambari Nyangwine (Mbunge).Inasemekana hivyo ndio vyenye afadhali..Tatizo haliko shule za msingi tu, kwa upande wa sekondary utitili wa vitabu umezidi na hili huwachanganya wanafunzi! "Enyi wabunge wa CCM, muogopeni MUNGU muache unafiki wa kutetea upuuzi unaoonekana hata kwa watoto!!
View attachment 96552View attachment 96553
naomba niwaongezee kitabu kingine hicho, picha haionekani vizuri ila mji mkuu wa Tanzania wameandika Nairobi badala ya Dodoma
Ni kuhusu makosa Makubwa katika vitabu vya msingi Vya kufundishia.
Imegundulika kuwa Katika vitabu vya kufundishia Katika shule za msingi kuna makosa makubwa na mengi yanayo pelekea kuwalisha watoto wetu unga wa ndere uliochanganyika na matango pori badala ya unga wa rut'ba.Tatizo hili limekuwa likitokea licha Ya vitabu hivyo kupitishwa na EMAC.
Haya yamewekwa bayana na Mbunge wa kuteuliwa na rais,James Mbatia (NCCR-Mageuzi) wakati akichangia hotuba ya wizara ya Elimu Jana. Akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Mbatia alionesha vitabu kadhaa bungeni , akitaja makosa mengi yaliyomo na kuhoji vili idhinishwaje na (EMAC).
Mbatia alisema "Serikali imetumia fedha za chenji ya Rada kusaini mikataba na kampuni zaidi ya 10 kwa ajili ya kusambaza vitabu kwenye shule zetu, lakini vitabu hivyo ni sumu kwa taifa, Alisema kuwa vitabu hivyo vimenunuliwa na fedha hizo sh bilioni 55.2 ambazo zilitengwa na serikali kwa ajili ya manunuzi ya vitabu na mihutasari.Mbatia alisema kuwa vitabu hivyo vikitumika vitalisababisha taifa kufa kielimu kwa vile watoto watajifunza mambo ambayo hayana ukweli.Alitoa mfano wa kitabu cha Jiografia cha darasa lasita kilichoidhinishwa na EMAC ambacho kimekosewa kwa kuandikwa Jografia.
Vitabu vingine ni cha Hisabati cha darasa la nne katika ukarasa wa 49, ambapo imeandikwa sifuri gawanya kwa sifuri jibu lake nisifuri wakati jibu sahihi ni haiwezekani.Pia alisema kitabu cha Hisabati kingine kinaonesha 2x7=15 na kitabu cha Uraia pia kinaeleza kuwa mtaa unaundwa na vitongoji mbalimbali na kuongozwa na wenyeviti wa vitongoji.
Mbatia alihoji; Kama Rais Kikwete hivi karibuni akiwaMbeya alikiri kuwa elimu yetu ina udhaifu, kwanini wabunge wa CCM hamtaki kukubali hili?
Kimsingi alichozungumza Mbatia ni hoja Makini inayoonesha kukosekana kwa umakini wa kutosha katika wizara yetu ya elimu..
TAARIFA MUHIMU ZA USAJIRI WA SHULE NA WALIMU - VIPEPERUSHI
TAARIFA MUHIMU ZA USAJIRI WA SHULE NA WALIMU - VIPEPERUSHI
JARIDA LA ELIMU Toleo la 1/2013 : Januari - Machi 2013
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
JARIDA LA ELIMU
Toleo la 1/2013 : Januari - Machi 2013
Jalida la Elimu - Kiswahili (1.08 MB)
Jalida la Elimu- English (1.07 MB