Hongera atletical...
...dah watoto walibana mbaya ! Kosa lao kupaki kasuzuki mvua iliyoshuka mpaka wamevuna aibu badala ya ushujaa...
Zaidi ya Ikka je ni nani mwingine ana uzoefu wa kubeba kombe la UEFAUnawapa hongera kwa KUFANYWA nini sasa?
Zaidi ya Ikka je ni nani mwingine ana uzoefu wa kubeba kombe la UEFA
Ronaldo na Alonso
Ronaldo played below standard, he was more than weak for the final. Waooo to Marcelo, Ramos and Di Maria.
Di Maria is the world's first class player. Wonderful player
Watoto walichanganyikiwa mbaya...huku Bale huku ronaldo,mara marcelo,halafu di maria ndo hashikiki...mvua ya magoli ikaanza taratiibu
Kiukwel hata lile goli la Atletico ni la kubahatisha baada ya Casilas kukosea kutokea. But Real Madrid walikuwa best all the tyme. Halaa kwa Di Maria
Zaidi ya Ikka je ni nani mwingine ana uzoefu wa kubeba kombe la UEFA
Ronaldo katoka majeruhi ,hata hivyo kajitahidi bonge la penalt
Mi nilikuwa atletico