Madoctor unganeni kuwaadhibu kina manyanya na msangi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madoctor unganeni kuwaadhibu kina manyanya na msangi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gerald, Jul 3, 2012.

 1. Gerald

  Gerald JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 290
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kuna wimbi la watu wametokea kudharau fani yenu na hata kufikia kuwadharau na mbaya zaidi kuwafananisha na hitler.

  Napendekeza wale wote waliohusika na kuwakejeli namna moja au ingine tuwaweke wazi ili iwe fundisho wao na vizazi vyao kutopewa huduma yoyote wanapokua wanaitaji huduma maospitalini ngoja nianze na hawa

  1. Eng stella manyanya na kizazi chake
  2. Maji marefu
  3. Spika wa bunge, Naibu spika, Na katibu
  3.
  4.

  Wana jf nisaidieni kuweka orodha hapo kwa wale wote waliohusika kuwakashfu madoctor hii itakua fundisho kwa wale wote wanao tumika kugandamiza madoctor.

  mwisho mkiweza kuitumia hii mbinu hakika wale wote waliokua na nia mbaya na nyie wataogopa kutumiwa kwa manufaa ya watu wachache, cause hao wote nafikiri wanawategemea pamoja na familia zao na vizazi vyao iweje wawadharau na kufika hata kutaka kutoa roho zenu? Unganeni mtashinda.
   
Loading...