Madoa matatu yanayo chafua mioyo ya Mama zetu na kuwa acha kuwa watu wapweke zaidi na kwa kipindi kirefu zaidi ya Baba zetu.

,
FB_IMG_16506529709120677.jpg
 
Vijana wa siku hizi mtakuja kuua NDOA za wazazi wenu.

Kuna mtu humu alishawahi comment kwenye uzi fulani hvi unaoendana na huu
'' kuna jamaa baada ya kuanzisha maisha yake ya kujitegemea akasikia siku akiitwa kwenye kesi baba ake mzazi kabisa aliyemzaa ndiye kamshtaki.

Mzee ake akawa anadai huyo mwanaye anataka kumvunjia ndoa yake na mama ake.

Mzee akadai huyo mwanae kila akijisikia humtumia mama ake nauli ili aende kwake ambako mama hukaa miezi kadhaa ilhali mzee hubaki mpweke peke ake nyumbani mke yuko kwa mwanae.
Mzee akafoka kwamba dogo anataka yeye amcheat mama ili ndoa ivunjike??

Mzee akamkanya mtotonwake kuwa hizo itikadi hataki."

SIUNGI HOJA MTOA MADA. WANAUME NDIO TUNAKUWA WAPWEKE KULIKO WANAWAKE HILO LIKO WAZI.
 
Nasisitiza, usimuonee huruma mwanamke wa kisasa. Ukitaka kufa mapema jaribu kumrizisha mwanamke!
Furaha yako kuna mtu ametoa jasho la damu hatimaye unafurahia maisha hapa dunia
Mpende kila mtu,jitahidi kusamehe kadri unavyoweza,hata ukiogupa kufa utakufa lakini ukifa kwa ajili ya furaha ya wengine hiyo ni baraka
 
Back
Top Bottom