James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,559
- 2,633
,
Imagine unapiga kazi then unasema mwisho wa mwaka huu namsapraizi na mizawadi kedekede, ila ndio hivyo Sir God anakusapraizi weweBinafsi mama yangu alifariki nilimpenda sana, nitampenda mke nitakayeoa kama mama yangu.
Tena umetamka vizuri ''God ana ku surprise '' km ni yeye wa ukweli kuna raha tupu huko uendako kwani je!!Imagine unapiga kazi then unasema mwisho wa mwaka huu namsapraizi na mizawadi kedekede, ila ndio hivyo Sir God anakusapraizi wewe
Noma sanaImagine unapiga kazi then unasema mwisho wa mwaka huu namsapraizi na mizawadi kedekede, ila ndio hivyo Sir God anakusapraizi wewe
Nasisitiza, usimuonee huruma mwanamke wa kisasa. Ukitaka kufa mapema jaribu kumrizisha mwanamke!Baada ya kuyaandika haya natumaini masaa kadhaa mbele zitakuja mada kuponda singo maza nk
bila kujali nao ni mama na wanawake zenu nao ni kina mama watarajiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Furaha yako kuna mtu ametoa jasho la damu hatimaye unafurahia maisha hapa duniaNasisitiza, usimuonee huruma mwanamke wa kisasa. Ukitaka kufa mapema jaribu kumrizisha mwanamke!