MADIZAINA wa Kibongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MADIZAINA wa Kibongo

Discussion in 'Entertainment' started by Game Theory, Mar 10, 2008.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Ni watu wa ahjabu sana na majina yao ni:

  MUSTAFA HASSAN ALLY

  mwingine anaitwa:

  REHMETULLAH

  mwingine anitwa

  FATMA AMOUR


  mwingine anitwa

  KHADIJA MWANAMBOKA

  they all have one thing in common kwenye hizi kazi zao, can you guess what it is?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Mar 10, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Wote wana asili kama siyo ya Uarabuni, India...
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2008
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Naomba anaejuwa history anieleze historically muArabu kwenye ukanda huu wetu alionekana lini mwanzo?

  Jee uarabu wa mtu ni nini? lugha? Taifa? Rangi? naomba kuijuwa nchi inayoitwa uArabuni.
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2008
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  umemsahau Asia Aidarous.
   
 5. l

  leedar New Member

  #5
  Mar 10, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaelekea Tunataka Kuwaiga Jirani Zetu Wapenzi Wa Kenya Wanaobaguana Wenye Kwa Wenye Tena Si Kwa Sababu Ya Uwarabu Wala Uhindi, Hebu Tuwache Uwozo Huo, Na Tuangalie Maendeleo Ya Nchi Au Tumeishiwa, Idara Ya Uhamiaji Iko Mcho Kuwafuatilia Wageni Isije Nasi Weusi Tukawa Na Asili Za Burundi Na Rwanda
   
 6. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2008
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  bado sijaelewa. nasubiri nipe mji.
   
 7. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mzee are u critising their work au u got something against them personally?? Coz in terms of their work they are doing a great job unless you prove them otherwise..Mustafa kila kukicha anafanya shows nje (Anapeperesha bendera ya Tanzania Proudly!!) na ndani ya nchi na makampuni kibao ya bongo yanampa tenda, Khadija recently amefungua sehemu ya kulea watoto yatima..Brazamen hapa umebuddy step..Wot have u done for Tanzania??

  Quick answer to your question ..wot they all have in common is the fact that they are young hard working individuals who are bringin the tanzanian fashion industry to light...anything else apart from that ni majungu in my eyes
   
 8. Wakunyuti

  Wakunyuti JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2008
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hawa nawaona miyeyusho tu wote.. wanafanana kazi zao..na sioni jipya
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  Apr 7, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  jibu ni kuwa hawana mipangilio


  tazama haipiti wiki utasikia wanafanya onyesho kwenye hoteli za kisaniii


  huku ni kukosa focus
   
 10. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ......yap!! wana reflect society waliyomo. regardless ya ubunifu/ujuzi wao, the question is, would they do the same elsewhere irrespective of the underlying talents?!!

  SteveD.
   
 11. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Sawa Kamanda.......
   
 12. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kibunango, usiseme sawa tu mkuu, elezea tafadhali... :)
   
 13. Mkanya

  Mkanya JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2008
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 600
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0  WEWE UNJIPA SHIDA YANINI HAYO NDUGU YANGU MPAKA UNATOKWA NA POVU JINGI NAMNA HIYO.USIJITESE NA HIYO HOJA MWACHE MWENYE MAJIBU YA SIYO NA JAZBA HAMJIBU,MAANA HAUWEZI JUA HUYU MTU ANATAKA NINI,
  SISI WENZAKO WAJANJA NDO MAANA TUNA KAA KIMYA.
   
 14. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  i would not be surprised kama wiki hii kuna show nyingine
   
 15. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jibu ni kuwa wote ni WAISLAMU,sio ubaguzi bali ni utambulisho tu
   
Loading...