Kamende
JF-Expert Member
- Mar 1, 2008
- 416
- 45
JItihada za Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Raymond Mushi kuhakikisha muafaka unaoipendelea serekali na CCM unatetewa kwa bidii zote zimewafikisha madiwani 5 wa CHADEMA kupoteza kadi zao za uanachama.
Kwa hakika habari hii ni chungu sana kwa mtu anayejali safari ya kijasiri ya kisiasa katika vyama makini vya upinzani duniani. lakini kwa hakika kama jinsi ambavyo nililalamika hapa jukwaani kwamba Tatiza la Arusha linatokana na WM PInda na leo ninaweka wazi pia kuwa aliyewaponza madiwani wa CHADEMA ni Waziri Mkuu Pinda mwenyewe.
Hiyo ndiyo nguvu iliyoko nyuma ya madiwani wale.
Tusubiri tuone atawasukuma kufanya nini dhidi ya CHADEMA.