Madiwani wote wa halmashauri ya Meru wapandishwa kizimbani!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,950
29,532
Baada ya kufanya uharibifu wa mali kwa kuvunja uzio wa thamani ya milioni saba wa bwana Naftali Makele.

Madiwani hao ambao wote ni wa kutoka Chadema wamefikishwa mahakamani kwa kosa la uharibifu mali na wako nje kwa dhamana.

My Take: Upinzani usitumike kama kichaka cha uvunjaji wa sheria.kama kuna hoja basi hoja zitumike kupambana na hoja na utawala wa sheria uheshimiwe.

Chanzo:Radio one
 
Baada ya kufanya uharibifu wa mali ...kwa kuvunja uzio wa thamani ya milioni saba wa bwana Naftali Makele.

Madiwani hao ambao wote ni wa kutoka Chadema wamefikishwa mahakamani kwa kosa la uharibifu mali na wako nje kwa dhamana.

My Take: Upinzani usitumike kama kichaka cha uvunjaji wa sheria.kama kuna hoja basi hoja zitumike kupambana na hoja na utawala wa sheria uheshimiwe.
Jingalao kweli jingalao kama jina lilivyo
 
Madiwani 24 wa CHADEMA wa halmashauri ya wilaya ya Meru waburuzwa mahakamani kwa kosa la kuharibu uzio wa mwanamchi katika kitongoji cha Leganga wilayani humo. Mbunge wa Jimbo hilo Joshua Nasari na yeye anahusika katika kesi hiyo ila hakufika mahakamani kujibu shtaka hilo. Madiwani hao wamekana shtaka hilo.

Chanzo: RFA
 
Back
Top Bottom