Madiwani wote ishirini Monduli wabwaga manyanga CCM, wahamia CHADEMA

Kiongozi nakwambia hawa mafisadi wana wakati mgumu na haijawahi watokea tangu tuwe huru! Wanatapatapa tu,yao ngumu safari hii hawataisahau katika historia yao!!!!!!
This is cheap propaganda, leo hii magazeti yameandika mwenyekiti wao wa Halmashauri jana kaungana na wenzake kuhama CCM.
 
Kiongozi nakwambia hawa mafisadi wana wakati mgumu na haijawahi watokea tangu tuwe huru! Wanatapatapa tu,yao ngumu safari hii hawataisahau katika historia yao!!!!!!
mkuu hawa CCM mwaka huu hata wakipata wabunge hamsini ni sawa na ngamia kupenya tundu la sindano au kutafuta ubikira kwa akina mama wenye umri wa miaka 50.
 
Although siipendi ccm, ila siioni nia ya dhati ya mabadiliko kwa hawa wanaohama. Nadhani wao suala ni maslahi na baba yao kakatwa jina kwahiyo wana hasira na hilo wala si nia ya mabadiliko.

Ila najua wapo wanaokwenda kanisani kwa malengo mabovu na wanakutana na nguvu ya Upako wanabadilika. Tumwombe Mungu safari ya Uhakika ifanikiwe
 
kiongozi mkuu wa wamasai laigwanani ngoyai lowasa akisema inakuwa,amri moja na kiapo,hakuna masai yotote kupigia kura ccm

ila wamaasai siku hizi wamebadilika! mara wamwite "NDOSSI" na kudai ni mmeru mara wamwite Laigwanani!! well chadema inabidi wanunue kifaa cha ku detect "Kenge" kwenye huo msafara wa Mamba wanaokuja, maana wamo na sii wachache!! watch out!!
 
Kwa akili yako hii basi polisi kutumia majambazi kurahisisha kazi yao kubomoa ujambazi ungeitwa unafiki?

Najua wengi mnajitoa ufahamu juu ya hili jambo, kumbuka mpaka leo tunamwita ZZK msaliti, lakini Lowassa ambaye ameujumu uchumi ya nchi hii tunamwita hero. Tuacheni huu unafiki kama kweli tunania njema ya hii nchi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom