Madiwani wawili wa CHADEMA Arusha kufikishwa mahakamani leo

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
467
195
Wanabodi

Nimepata taarifa za uhakika kutoka jeshi la polisi Arusha kuwa wanamtafuta diwani wa CHADEMA Mh. Nanyaro na Naibu meya Mh Msofe ili wafikishwe mahakamani kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi mgambo wa jiji.

Taarifa za ndani ya polisi zinasema kuwa madiwani hao wamekuwa wakitafutwa kwa wiki sasa huku Naibu meya akiwa hajapatikana kwa simu. Polisi wanasema kuwa Nanyaro ambaye ni kiongozi mwandamizi wa CHADEMA amepatikana kwa simu ila amekataa kufika kituoni hapo kwa madai kuwa hakubaliani na wito wa simu bali anataka wito wa maandishi kwa mujibu wa sheria.

Nitaendelea kuwajuza...
 

mob

JF-Expert Member
Dec 4, 2009
2,270
2,000
mkuu arusha ilikwisha tulia ni mdudu gani tena anataka kusababisha hali ya kutoeleweka Arusha.
Wanabodi
Nimepata taarifa za uhakika kutoka jeshi la polisi Arusha kuwa wanamtafuta diwani wa CHADEMA Mh Nanyaro na Naibu meya Mh Msofe ili wafikishwe mahakamani kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi mgambo wa jiji
Taarifa za ndani ya polisi zinasema kuwa madiwani hao wamekuwa wakitafutwa kwa wiki sasa huku Naibu meya akiwa hajapatikana kwa simu,polisi wanasema kuwa Nanyaro ambaye ni kiongozi mwandamizi wa CHADEMA amepatikana kwa simu ila amekataa kufika kituoni hapo kwa madai kuwa hakubaliani na wito wa simu bali anataka wito wa maandishi kwa mujibu wa sheria
Nitaendelea kuwajuza.............
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom