Madiwani wawili CUF Mafia wakihama Chama na kujiunga na CCM

ray jay

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,084
485
Madiwani wawili wa chama cha wananchi CUF kata ya Kilindoni,Athman Mussa Mbonde na wa kata ya Jibondo, Hassan Mohamed Hassan wilayani Mafia wamerejea kwenye chama cha mapinduzi(CCM) katika ofisi za chama cha mapinduzi CCM Wilaya ya mafia mkoani Pwani.

Wameamua kufanya hivyo wakiunga mkono jitihada za Rais Magufuli na chama cha mapinduzi(CCM).
 
Hawa wenye nafasi za udiwani na ubunge ni wajinga sana maana wanalitia hasara taifa kwa chaguzi za kila mara kwa mara kwa sababu za ajabu kabisa eti 'wanaunga mkono juhudi za rais' nchi hii naona inazidi kuwa kichwa cha mwendawazimu kwenye siasa
 
Madiwani wawili wa chama cha wananchi CUF kata ya Kilindoni,Athman Mussa Mbonde na wa kata ya Jibondo, Hassan Mohamed Hassan wilayani Mafia wamerejea kwenye chama cha mapinduzi(CCM) katika ofisi za chama cha mapinduzi CCM Wilaya ya mafia mkoani Pwani.

Wameamua kufanya hivyo wakiunga mkono jitihada za Rais Magufuli na chama cha mapinduzi(CCM).
Yaani badala ya kumuunga shein wana muunga magu hapa kuna namna sii bure.
 
Biashara inalipa sana hiyo.
 
Kwenu JamiiForums Moderator
Kuondoa usumbufu na makero yasiyo sababu,ni vyema mkaunganisha hizi mada za hamahama na kizipa kichwa kimoja cha habari.

Mfano; Hamahama ya wanasiasa kwenda vyama mbalimbali.

Maana najua wapo wengi sana wanaohama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom