Madiwani wasaliti Arusha wanusurika kupewa kibano maeneo ya OTTU leo

jamani hii sio sawa kwa maana ya kuwatishia usalama wao. Kuna namna ya kistaarabu ya kuwaonesha kuwa walilofanya sio sahihi.
Nawaomba watanzania wenzangu wa arusha muwe makini kuonesha hisia zenu. Msiwadhuru tafadhali...bado ni watanzania wenzetu tu!
 
Back
Top Bottom