Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
mamluki at work.....
CCM walishasema wenyewe....kwamba watawatumia.....
makamanda muwe macho....
Kweli! Kusamehewa wasamehewe lakini wabaki kama watazamaji tu
mamluki at work.....
CCM walishasema wenyewe....kwamba watawatumia.....
makamanda muwe macho....
Kuna mmoja wao niliongea nae siku moja akaniambia hata Mh. Pinda na Mh. Zitto wameuafiki mwafaka kuwa uko safi....nikamuuliza je chama kina semaje na wewe uligombea udiwani kupitia Pinda au Zitto.....Haha wanaomba msamaha baada ya mtoto wa mkulima kwenda Arusha
Kushindwa mahakamamni kwa Lema kumechangiwa sana na madiwani hawa kwani ni waasi nalazimika kuamini kwamba wakati wa kesi hiyo walishiriki kuihujumu chadema chini chini kwa kuwa Lema alikuwa mwiba kwao katika suala la Arusha sasa wanarudi na kuomba radhi pengine wanafahamu kuwa rufaa ya Lema hatashinda.
Chadema mkitaka kupoteza umaarufu Arusha warudishe hawa waasi.
Mgogoro huu wa madiwani umerudisha nyuma wajibu wao kwa wananchi kupitia chadema hawafai hata kidogo.
Kama wana uhakika wa kurudi kwenye udiwani kupitia chama chochote sio lazima warudi CDM vyama viko vingi
Ninaunga mkono, kusamehe ni sheria mojawapo ya Mungu. Wasamehewe kwa vile wametambua kosa walilolifanya na unafiki wao. Watakuwa watendaji wazuri na wawakilishi wema wa wananchi.
Nimejaribu kuitafuta habari hii kwenye gazeti la Mwananchi lakini sijaiona.Hatimaye madiwani waliotimuliwa na Chadema Arusha wameandika barua kwa Mbowe na Dr Slaa kuomba radhi wasamehewe.
Mimi napendekeza wasamehewe kwa sharti la kuondoa kesi mahakamani na pia waukane muafaka bandia. Inavyoelekea kesi itakaa hadi 2015 na wananchi wa Arusha watakosa maendeleo hasa ukizingatia hakuna mbunge.
Source. Mwananchi
Kusamehewa wanaweza kusamehewa, lkn kosa walilofanya ni la kihaini kwa Chama; msamaha lazima umaanishe kuwa wataendelea kuwa wanachama wakiishi na matokeo ya uhaini wao. Kamwe wasiruhusiwe kugombea udiwani. Wawekwe kwenye kipindi cha uangalizi wakiruhusiwa kutumika katika ngazi za chini zaidi, mpaka itakapothibitika kuwa hawatatumiwa na magamba tena.Hatimaye madiwani waliotimuliwa na Chadema Arusha wameandika barua kwa Mbowe na Dr Slaa kuomba radhi wasamehewe.
Mimi napendekeza wasamehewe kwa sharti la kuondoa kesi mahakamani na pia waukane muafaka bandia. Inavyoelekea kesi itakaa hadi 2015 na wananchi wa Arusha watakosa maendeleo hasa ukizingatia hakuna mbunge.
Source. Mwananchi
Inawezekana mawazo yako ni sawa, lakini kumbuka kule Meru kata 17 zote madiwani ni CCM mbona walishindwa kuisaidia ikashinda uchaguzi? Hakuna wa kuzuia nguvu ya umma bwana. Kama ni kuwasamehe wanaweza kusamehewa lakini udiwani sijui sheria imekaaje, maana bado kesi iko mahakamani. Wanaojua sheria zetu watujuze