Tetesi: Madiwani wa Chadema jimbo la Mtama kujiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,743
141,604
Baada ya aliyekuwa Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe kuhamia CCM inaelezwa kuwa madiwani wawili wa jimbo la Mtama watajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa.

Taarifa zinadai kuwa huko Ndanda maelfu ya wana-Chadema wamerejesha kadi na bendera za chama hicho na wanasubiri kukabidhiwa kadi za CCM na kigogo mmoja wa chama atakayezuru Ndanda na Masasi hivi karibuni.

Maendeleo hayana vyama!
 
Wanasubiri nini hao? Hao ni Ng'ombe waliokatika mkia au malaya wa kisiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo linaloleta faraja ni kuwa wengi wa hawa watu ndio walio taabani kimaisha.

Bila ya kuwa na upinzani, na watawala wakajua kuna options na kuna uwezekano wa kuondolewa madarakani, watu wasahau kuona maendeleo halisi katika uchumi, demojrasia na haki.

Kunapofanyika nguvu zisizo halali kudhoofisha upinzani, kila Mtanzania wa kweli, mzalendo na mwenye akili timamu anastahili kuumia na kusikitika.

Siasa uchwara wanazozifanya akina Polepole na akina Bashiru hazina msaada wowote kwa Taifa.
 
Baada ya aliyekuwa Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe kuhamia CCM inaelezwa kuwa madiwani wawili wa jimbo la Mtama watajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa.

Taarifa zinadai kuwa huko Ndanda maelfu ya wana-Chadema wamerejesha kadi na bendera za chama hicho na wanasubiri kukabidhiwa kadi za CCM na kigogo mmoja wa chama atakayezuru Ndanda na Masasi hivi karibuni.

Maendeleo hayana vyama!
Duuh!
 
Kwa hiyo nchi unaenda Rudi Single Political Party 2020. Siwaskii Cuf, nld, UDP, nccrmageuzi.
 
Back
Top Bottom