Madiwani wa Chadema Iringa kwanini mnatutesa wananchi kwa kuhamishia stendi kuu Igumbile nje ya manispaa?!

Baraza la madiwani wa manispaa ya Iringa chini ya Chadema mmetuumiza sana kwa kuihamishia porini stendi kuu ya mabas

Wananchi wanateseka kwa kweli.
Niishie hapo

ccDC Kasesera, MB Msigwa, Kamanda Allen Kilevela wa Jf

Ngungumbile ni wapi hapo tusije tukapotea
 
Stendi kuwa Igumbilo sioni tatizo. Mjini palikwisha kuwa finyu siku nyingi sana. Ipogolo napo ni padogo pia ni ukanda wa mafuriko siku Mto Ruaha ukifurika.

Itakuwa ni makosa kumzuia mtu anayetokea Dodoma kushukia Mkimbizi au Mshindo na kumlazimisha hadi afike Igumbilo.

Mengineyo.unayochangia naona kama vile unachangia kwa muktadha wa uCCM dhidi ya uCHADEMA.
 
Mji utakuwa lini kuendelea kujibana kwenye kile kijistendi pale juu mjini?
Funguka kifikra
Baraza la madiwani wa manispaa ya Iringa chini ya Chadema mmetuumiza sana kwa kuihamishia porini stendi kuu ya mabas

Wananchi wanateseka kwa kweli.
Niishie hapo

ccDC Kasesera, MB Msigwa, Kamanda Allen Kilevela wa Jf
IMG_20190726_130930311.jpeg
 
Bwana mbatizaji hujafika Iringa. Pale hapafai kuendelea kuweka stand.

Ni sawa na ile ya Mwanza,nyegezi wanavyoipigania itoke pale.

Tuwapongeze madiwani pamoja na uongozi wa manispaa kwa kuliona hilo.

Pongezi pia kwa kujitahidi kuuweka mji safi.
 
Kwa kweeli igumbilo ni mbali na iringa mjini, taxi 20,000, cha ajabu mtu anatoka dodoma anapita katikati ya iringa mjini anaenda kushuswa umbali wa km 12, akodi taxi 20,000/= kurudi mjini , mtu anatoka mbeya anapitilizwa kuelekea njia ya dar , zaidi ya km 8, watu waruhusiwe kushushwa stendi ya mjini na ipogolo mpaka hapo watakaporahiaisha usafiri wa kufika iringa mjini.
 
Stendi kuwa Igumbilo sioni tatizo. Mjini palikwisha kuwa finyu siku nyingi sana. Ipogolo napo ni padogo pia ni ukanda wa mafuriko siku Mto Ruaha ukifurika.

Itakuwa ni makosa kumzuia mtu anayetokea Dodoma kushukia Mkimbizi au Mshindo na kumlazimisha hadi afike Igumbilo.

Mengineyo.unayochangia naona kama vile unachangia kwa muktadha wa uCCM dhidi ya uCHADEMA.
Maendeleo hayana vyama usisahau hilo!
 
Bwana mbatizaji hujafika Iringa. Pale hapafai kuendelea kuweka stand.

Ni sawa na ile ya Mwanza,nyegezi wanavyoipigania itoke pale.

Tuwapongeze madiwani pamoja na uongozi wa manispaa kwa kuliona hilo.

Pongezi pia kwa kujitahidi kuuweka mji safi.
Mimi niko Iringa kitambo tangu mbunge Msigwa akituuzia mitumba pale miyomboni!
 
Kwa kweeli igumbilo ni mbali na iringa mjini, taxi 20,000, cha ajabu mtu anatoka dodoma anapita katikati ya iringa mjini anaenda kushuswa umbali wa km 12, akodi taxi 20,000/= kurudi mjini , mtu anatoka mbeya anapitilizwa kuelekea njia ya dar , zaidi ya km 8, watu waruhusiwe kushushwa stendi ya mjini na ipogolo mpaka hapo watakaporahiaisha usafiri wa kufika iringa mjini.
Unataka Useme watu wa Tegeta wakitoka Arusha Huwa wanakuja kushukia Ubungo?
 
Mpuuzi sana wewe, Madiwani wa Chadema wana uwezo wa kuhamisha stend? Kweli mnakaa na kusaport ujinga kihasi hiki? Na stand ya Dodoma kwenda nane nane wamehamisha Chadema, na stend ya manyala wamehamisha Chadema? Acheni upoyoyo wa ili mradi muonekane umeanzisha thread.
Hapo tu ni ngazi ya udiwani wangeshika nchi watu wote tungeishi baharini.
 
Unataka Useme watu wa Tegeta wakitoka Arusha Huwa wanakuja kushukia Ubungo?
Ndio maana tunawaambia warekebishe hilo , ili watu washushiwe kwenye stendi ili kuwarahisishia usafiri wa kwenda kwenye makazi yao , ukizingatia wanaopanda mabasi ni watu wa kipato cha chini na wanafunzi ,mambo yaende kwa hatua hatua, hata dawa mtu anakunywa kidogo kodogo ndio apone , km 12 si mchezo .
 
Back
Top Bottom